Kwanini viongozi wa vyama vingine vya upinzani hawasumbuliwi kama Mbowe

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Sijawai wasikia kina Hashim Rungwe, Dovutha, kina Zitto, Lipumba, Cheyo na Mrema wakipitia kama aliyoyapitia Mbowe.

Hao viongozi wa vyama pinzani hawajawai filisiwa Kama Mbowe, hawajawai vunjiwa sehemu za Bihashara Kama Mbowe, hawajawai kutekwa na kuumizwa kama Mbowe.

Hao wote hawajawai pewa kesi kama za Mbowe, hawajawai kufungwa kama Mbowe, nachojiuliza hao viongozi wana kitu gani ambacho kinawafanya wasisumbuliwe na dora kama Mbowe.

Tatizo la Mbowe ni lipi mbona kila siku matatizo hayaishi kwakwe

IMG_20220121_135942.jpg
 
View attachment 2090710
Wengine wemeshaunga juhudi mkono.
 
Siyo magaidi kama mbowe
 
kwa kawaida na kwa Mila na desturi za kiafrika huwa marehemu hasumbuliwi
 
Sijawai wasikia kina Hashim Rungwe, Dovutha, kina Zitto, Lipumba, Cheyo na Mrema wakipitia kama aliyoyapitia Mbowe.

Hao viongozi wa vyama pinzani hawajawai filisiwa Kama Mbowe, hawajawai vunjiwa sehemu za Bihashara Kama Mbowe, hawajawai kutekwa na kuumizwa kama Mbowe.

Hao wote hawajawai pewa kesi kama za Mbowe, hawajawai kufungwa kama Mbowe, nachojiuliza hao viongozi wana kitu gani ambacho kinawafanya wasisumbuliwe na dora kama Mbowe.

Tatizo la Mbowe ni lipi mbona kila siku matatizo hayaishi kwakwe

View attachment 2090710
mti wenye matunda, hauishi kupigwa mawe.
 
Kwa sababu chadema wamem-snitch Mbowe, shida ni Uwenyekiti, na atafanyiwa coup soon !
 
Back
Top Bottom