Serikali inapodaiwa kuwe na sheria za kuibana ilipe madeni

Mungu Tusamehe Afrika

Senior Member
Jan 18, 2022
139
204
Imefika wakati sasa kuwe na sheria zitakazoiwajibisha serikali inapodaiwa na wananchi au mashirika binafsi na makampuni binafsi kwani viongozi wengi hasa wakurugenzi wa halmashauri (maDED) na taasisi za serikali pamoja na serikali kuu wamekuwa wanakopa mali na huduma kisha kutolipa kwa wakati na hata wanapofikishwa mahakamani na kushindwa kesi bado mahakama zinashindwa kuwaadhibu kutokana na udhaifu wa sheria husika.

Viongozi hao wanatanguliza maslahi yao binafsi kwa kulipana posho za vikao na safari na kuacha kulipa madeni kwa makusudi tu.

Hivi karibuni waziri wa TAMISEMI aliagiza madeni yote wanayodaiwa yalipwe ndani ya miezi mitatu lakini hilo halijatekelezwa kutokana na viongozi hao kudharau na wakijua kabosa hakuna sheria zinazowabana.

Kuna wakati wanaweka makubaliano ya kulipa madeni husika kupitia kwa wanasheria wao lakini wanayakiuka kwa makusudi hadi kufikishwa mahakamani na wanasheria wakiangalia kwa sababu wao wanachojali ni posho za kuhudhuria mahakamani na wakati mwingine kutaka fedha kutoka kwa wadai ili wanasheria wasikate rufaa hata kama kesi haina mashiko kwa upande wao na wakijua kabisa hawawezi kushinda rufaa yao na deni linaongezeka kutokana na gharama za kesi na riba.

Mfano mzuri ni kwa maDED wa Manipaa ya Sumbawanga Bw Mtalitinya anayedaiwa zaidi ya Tshs 200mln na kufikishwa mahakamani na kampuni ya Amos Investment ya Sumbawanga na kushindwa kesi hiyo tangu 2018 hadi leo na mahakama imeshindwa kumchukulia hatua yoyote huku akikaidi hata kufika mahakamani,DED wa kalambo pia anadaiwa na kampuni hiyo hiyo zaidi ya Tshs 65mln na kufikishwa mahakamani na kushindwa kesi husika pamoja na kuelekezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha kulilipa deni hilo bado DED huyu amekuwa akizungusha kila leo na kukiuka makubalino waliyowekeana ya kulilipa deni hilo kwa awamu,DED wa Nkasi pia anadaiwa na kampuni ya Amos Investment zaidi ya Tshs 50mln ambazo anazungushwa kila leo na faili limekwama kwa mwanasheria anayeitwa Tinga.

Mwanasheria huyu ni mfano mzuri wa wanasheria wantaasisi za serikali wanaopenda kukuza migogoro ya madeni ifike mahakamani na kuwa kesi ili kujipatia posho na rushwa kutoka kwa wadai kwa ahadi ya kutokukata rufaa watakaposhindwa kesi.Huyu alipokuwa mwanasheria wa sumbawanga vijijini alisimamishwa kazi kwa sababu hizo hizo za kutoshauri vizuri na kukalia mafaili ya madeni baadae alirudishwa kazini na kuhamishiwa kalambo ambako pia alikuwa kikwazo kwa deni la Amos Investment hadi alipohamishiwa Nkasi baada ya mwanasheria aliyekuwepo kufariki ambako tena amekalia faili la Amos Investment lililokuwa tayari kwa malioo pamoja na kuelekezwa na DED mara kwa mara alifanyie kazi ili Amos Investment alipwe kitu ambacho kinasababisha deni hilo kuongezeka.

Kwa hali hii viingozi hawa wa serikali wanawainua au wanawaangamiza wafanyabiashara ambao huwa wanamikopo ya benki?

Rais ingilia kati hali hii kwani serikali inaangamiza wananchi wake kwa sheria za masai zinazoibeba serikali.

ASANTENI!!
 
Unataka serikali ijibane yenyewe? Since when? Because instruments zote za kuenforce law na kusimamia haki ni MALI ZA ^SIRIKALI^ hiyo, literally!
 
9453576F-EAF3-400A-AEB9-462B16EF8036.jpeg

0B3AE927-6D35-4070-B891-CF18CE5DA9FA.jpeg
 
Ukifanya kazi na serikali hasa hizi kampuni zetu za ndani, zenye mitaji midogo tenda za kiserikali zinaumiza sana
 
Niliwahi kuajiriwa nikaamua kuacha kazi ninafanya shughuri zangu binafsi. Kilichopelekea niachekazi nikukopwa kwa stahiki zangu nikadai nikaandika barua kibao nikaenda hadi kwa katibu mkuu! Hadi leo napigwa ahadi. Bora sasa hivi simtumikii huyo dhalimu!
 
Back
Top Bottom