Sasa nimeamini kuwa wana CCM wa sasa ni kielelezo tosha cha tabia ya Unafiki iliyopo CCM na huenda hata kwa Watanzania wote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,455
108,579
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.

Kwa mshangao kabisa jana na hata leo nimepita katika kurasa za Wanafiki fulani wa CCM ambao binafsi kwa Mmoja wao na Mwingine kupitia Dereva wake walisikika wakisema hawamtaki Dk. Tulia Ackson awe Spika huwa wakimtuhumu ila baada ya Dk. Tulia Kuchaguliwa nao sasa wamepiga U-turn ya Hatari na ni Mwendo tu wa Kumpamba na Kumpongeza Dk. Tulia kwa Uteuzi huku wakijua fika kuwa Rohoni Kwao na Mioyoni Mwao wala hawampendi Dada wa Watu.

Natamani sana niwataje ili waumbuke.
 
Dada yangu Spika Mtarajiwa ( na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu ) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.

Kwa Mshangao kabisa jana na hata leo nimepita katika Kurasa za Wanafiki fulani wa CCM ambao binafsi kwa Mmoja wao na Mwingine kupitia Dereva wake walisikika wakisema hawamtaki Dk. Tulia Ackson awe Spika huwa wakimtuhumu ila baada ya Dk. Tulia Kuchaguliwa nao sasa wamepiga U-turn ya Hatari na ni Mwendo tu wa Kumpamba na Kumpongeza Dk. Tulia kwa Uteuzi huku wakijua fika kuwa Rohoni Kwao na Mioyoni Mwao wala hawampendi Dada wa Watu.

Natamani sana niwataje ili waumbuke.
Taja ili usiwe miongoni mwa kundi Hilo.
 
✓Kama unatutaja, tutaje? Tuuuu
 
Moja ya kanuni ya mwanatanu ni ''kusema ukweli daima fitina kwangu mwiko" kanuni hii iliasisiwa enzi za mwalimu, Mwalimu alijua kabisa kwamba wana ccm waliowengi wamejawa fitina. ukiongea nao wanakwambia hongera tupo pamoja lakini moyoni hawako na wewe. na hizi ndizo tabia za wajumbe wa ccm.
 
Huyo unayemtetea mwenyewe Ni mnafiki vilevile. Hapo Ni wanafiki wamekutana.
 
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.

Kwa mshangao kabisa jana na hata leo nimepita katika kurasa za Wanafiki fulani wa CCM ambao binafsi kwa Mmoja wao na Mwingine kupitia Dereva wake walisikika wakisema hawamtaki Dk. Tulia Ackson awe Spika huwa wakimtuhumu ila baada ya Dk. Tulia Kuchaguliwa nao sasa wamepiga U-turn ya Hatari na ni Mwendo tu wa Kumpamba na Kumpongeza Dk. Tulia kwa Uteuzi huku wakijua fika kuwa Rohoni Kwao na Mioyoni Mwao wala hawampendi Dada wa Watu.

Natamani sana niwataje ili waumbuke.
CCM kumelaaniwa tupu
 
Moja ya kanuni ya mwanatanu ni ''kusema ukweli daima fitina kwangu mwiko" kanuni hii iliasisiwa enzi za mwalimu, Mwalimu alijua kabisa kwamba wana ccm waliowengi wamejawa fitina. ukiongea nao wanakwambia hongera tupo pamoja lakini moyoni hawako na wewe. na hizi ndizo tabia za wajumbe wa ccm.
Hata Ndugai atampongeza Tulia japo kimoyo moyo analia
 
Hata wewe mwenyewe hapa ni mnafiki tu unaye jikomba komba kwa huyo Tulia Ackson! Huna lolote. Eti dada yangu Spika Mtarajiwa.....!!!

Mbona humsifii mwanaume mwenzako Ndugai? Mbona hata yeye pia alikuwa ni shabiki wa simba?
Bwege sana hili jamaa. Limebakiza kujikomba tu.
 
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.

Kwa mshangao kabisa jana na hata leo nimepita katika kurasa za Wanafiki fulani wa CCM ambao binafsi kwa Mmoja wao na Mwingine kupitia Dereva wake walisikika wakisema hawamtaki Dk. Tulia Ackson awe Spika huwa wakimtuhumu ila baada ya Dk. Tulia Kuchaguliwa nao sasa wamepiga U-turn ya Hatari na ni Mwendo tu wa Kumpamba na Kumpongeza Dk. Tulia kwa Uteuzi huku wakijua fika kuwa Rohoni Kwao na Mioyoni Mwao wala hawampendi Dada wa Watu.

Natamani sana niwataje ili waumbuke.
Wamehalifu kifungu kipi cha Katiba Mama au ya chama??
 
Hata wewe mwenyewe hapa ni mnafiki tu unaye jikomba komba kwa huyo Tulia Ackson! Huna lolote. Eti dada yangu Spika Mtarajiwa.....!!!

Mbona humsifii mwanaume mwenzako Ndugai? Mbona hata yeye pia alikuwa ni shabiki wa simba?
Subiri mvua ya matusi
 
Back
Top Bottom