pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Salamu
Kwa mara ya kwanza tangia kuumbwa misingi ya dunia na kuwa na utawala Tanzania yetu haijawahi kuwa na Rais ambae ni jinsia ya kike Mheshimiwa Rais na amiri Jeshi mkuu Mama Samia Suluhu Hassani ndio wa kwanza.
Nchi za africa na hata baadhi ya nchi za dunia , mwanamke anahesabika kwamba sio wa kuaminika na hata hawezi kwenda mbele za vikao vya wanaume na kuzungumza, zaidi yeye atakuwepo kusikiliza kile wanaume wanachoamua.
Na hili limekwenda mpaka kwenye mfumo wa dini zetu wanawake hawaaminiki kupewa mamlaka na hata akipewa atachanganywa mpaka yeye mwenyewe aachie ngazi.
Mfumo huu unatambulika kama mfumo dume ulio jikita mizizi tangu kwenye familia zetu.
Mfano umeoa au umeolewa familia inapata furaha sana hasa ukiwa na mtoto wa kiume na huyo mtoto ataanza kuelezwa mambo makubwa hata kama ana dada zake utasikia wewe mwanaume hupaswi kwenda jikoni , hupaswi kufua nguo zako, hupaswi kulia lia , hupaswi kufua nguo dada zako wapo watakufulia . Mfumo huo huendelea na kuwa sehemu ya maisha ya mhusika .
Kinachoendelea hapa Tanzania [emoji1241] sio tatizo nani anatawala bali ni MFUMO ulio tengenezwa .
Yaani leo Rais akiamua kuto kugombea wale wote jinsia ya kike walioshika nyadhifa kubwa hazitaendelea watatolewa shida sio hawawezi kuendesha bali MFUMO ULIOPO.
Sasa mheshimiwa Rais wewe ndio wa kuvunja mfupa huo mgumu na ni mgumu kwelikweli na mambo yafuatayo uyafanye
1. Katiba mpya ambayo mwanamke hatakuwa anapata nafasi kwa Hisani bali apimwe kwa uwezo wake. Binafsi huamini akili na maarifa hayana jinsia bali kuanzia kifuani mpaka miguuni ndiko kwenye jinsia.
Katiba ukiisimamia hata kama utaamua kustaafu Tanzania ya kesho utakuwa umeitengeneza vema.
Pole mama kwa kupewa mfupa mkubwa mgumu hnaongemelewa na wengi.