igweeee!
Ni muda sasa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kinapitia changamoto kubwa kiuongozi kwani mpaka sasa chama hiki viongozi wake wakuu hawapo huru kukitumikia chama.
Mwenyekiti Mbowe yuko huko segerea kutokana na charges zile ambazo zinaeleweka zipo kimchongo, mpaka sasa haifahamiki ni lini atarejea uraiani
Katibu mkuu wa chama yupo huko ng'ambo kwa sababu za kumkwepa mwendazake ilihali mtu huyo tulikwisha mzika na kumsahau karibuni miezi 10 sasa imepita.
Chama hiki kinaendeshwa vipi pasipokuwa na mwenyekiti wala katibu mkuu ofisini?
Hali hii ikiendelea chama kitaa hivo bila uongozi mpaka lini?
Je, Chama hakioni ulazima wa kuchagua viongozi wapya ili kuendelea kukiimarisha chama?