Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,112
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 28/01/2022 Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji. Katika ziara hiyo Rais Samia amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Lengo la Ziara hiyo ni kujitambulisha kwa viongozi wenzake wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini SADC.
Zaidi ya hayo, Rais Samia ameshukuru kwa mapokezi mazuri pia amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kudumisha uhusiano mzuri kati yake na Msumbiji.
Baada ya Ziara hiyo ya siku moja Rais Samia amerejea nchini