Kwani wanachama wa ACT Wazalendo wanasemaje?

Shabdullah

Member
Feb 17, 2020
65
52
Habari wana jf

Leo nimepokea tathmini ya kile kilichofanyika jana 29/01/2022 Mlimani City kutoka huko zanzibar.

Wanachama wa ACT wazalendo hadi sasa wamegawanyika, wapo ambao hawakubaliani na mh Juma Duni na wengine hawakubaliani na hamad massoud.

Wapo wanaohoji juu ya demorasia ya ndani ya chama, wapo wanaohoji juu ya mkuu wachama (ndg: Zitto Zubeir Kabwe).

Wapo ambao wamechukua hatua ya kuchana kadi za ACT wazalendo na wengine hadi kutamka kuwa wanahama chama baada ya kupata matokeo wasio yataka. Wapo ambao wanasema nibora wangelibaki CUF kuliko ACT.

imani yangu kusu katibu mkuu

1) Hapo kuna uunnguja na upemba
Juma duni = unguja
Hamad masoud = pemba
Wapo ambao wanaangalia wapi wanatoka
2) wapo ambao wanaangalia utofauti wa siasa zao
3) wapo wanaoangalia utendaji wao (ikumbukwe kua wote hawa waliwahi kuwa mawaziri)

JE TUCHAGUE MMOJA, TUBAKI WAMOJA ITAFANIKIWA KWELI?
 
Kuna mtu karibu atavuna alichopanda
Uzuri
Body language ya Mkuu akihotobia yah akihotobia utaona ' anawaona waliojiunga ni mambubmbumbu wasiojulikana kitu...'
bomu karibu litapasuka
Wa visiwani wamegundua wanatumika kwa maslahi ya wachache
Katiba Mpya muhimu....
 
Habari wana jf

Leo nimepokea tathmini ya kile kilichofanyika jana 29/01/2022 Mlimani City kutoka huko zanzibar.

Wanachama wa ACT wazalendo hadi sasa wamegawanyika, wapo ambao hawakubaliani na mh Juma Duni na wengine hawakubaliani na hamad massoud.

Wapo wanaohoji juu ya demorasia ya ndani ya chama, wapo wanaohoji juu ya mkuu wachama (ndg: Zitto Zubeir Kabwe).

Wapo ambao wamechukua hatua ya kuchana kadi za ACT wazalendo na wengine hadi kutamka kuwa wanahama chama baada ya kupata matokeo wasio yataka. Wapo ambao wanasema nibora wangelibaki CUF kuliko ACT.

imani yangu kusu katibu mkuu

1) Hapo kuna uunnguja na upemba
Juma duni = unguja
Hamad masoud = pemba
Wapo ambao wanaangalia wapi wanatoka
2) wapo ambao wanaangalia utofauti wa siasa zao
3) wapo wanaoangalia utendaji wao (ikumbukwe kua wote hawa waliwahi kuwa mawaziri)

JE TUCHAGUE MMOJA, TUBAKI WAMOJA ITAFANIKIWA KWELI?
Mh.Anderson Ndambo na yeye kajitoa ACT.
 
Lini?
Screenshot_20220130-215824_Instagram.jpg

Back
Top Bottom