TLS Chama cha Mawakili Tanganyika rasmi kimetekwa nyara na Mhimili wa Serikali Kuu

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
02 February 2022
Dodoma, Tanzania

SIKU YA SHERIA

Tanganyika Law Society TLS ambacho kilikuwa chama huru cha wanataaluma ya sheria kukubali kuhamia Dodoma makao makuu huku kikiwa na jengo lake la Wakili House jijini Dar es Salaam walilolijenga kwa juhudi zao kama wanataaluma ni hatua mojawapo ya kujitumbukiza ktk kibano cha mhimili wa dola.


Source : Wakili TV

TLS kuwa omba omba kiasi sasa serikali leo tarehe 2 February 2022 kutambuliwa na serikali kuwa TLS hii siyo ile iliyokuwa huru chini ya viongozi madhubuti kama kina Tundu Lissu, Fatma Karume, Dr. Rugemeleza Nshala, Rwechungura kwa kuwataja kwa uchache haliopigania TLS kuendelea kuwa huru.

Mwaka 2020 mwezi January serikali ilianza zoezi la kuizonga na kuimaliza pumzi ya TLS kwa kuwasilisha muswada ulipingwa na kambi ya upinzani bungeni na wadau wengine watetezi wa uhuru

Strong reactions greet Tanganyika Law Society new law​

Thursday January 30 2020​

Dodoma. Parliament has passed a law through the government Miscellaneous Amendments Act, which among other things, ‘curtails’ Tanganyika Law Society (TLS) autonomy.

Under the Bill, which was tabled in Parliament on Tuesday evening by Attorney General Prof Adelardus Kilangi, the government will have a mandate to appoint its representatives to the TLS annual general meeting, where important issues about the Bar including the election of the association president, are made.

If the Bill is assented to by President John Magufuli, then Constitution and Legal Affairs minister will also have powers to appoint government representatives in TLS meetings.

The Bill drew strong reactions from Opposition lawmakers, who argued that the Bill was passed in order to restrict TLS and lawyers’ powers.

Some of the MPs, who spoke during the debate, claimed that the Bill was tabled in order to impose the Executive powers on the Judiciary.

Parliament also turned down some of the recommendations from TLS, which included extension of president’s tenure to three years. Currently, TLS president’s tenure expires after a year READ MORE : Strong reactions greet Tanganyika Law Society new law
 
02 February 2022
Dodoma, Tanzania

SIKU YA SHERIA

Tanganyika Law Society TLS ambacho kilikuwa chama huru cha wanataaluma ya sheria kukubali kuhamia Dodoma makao makuu huku kikiwa na jengo lake la Wakili House jijini Dar es Salaam ni hatua mojawapo ya kujitumbukiza ktk kibano cha mhimili wa dola...
Hapa makamanda uchwara wote midomo ya kunywea mbege na kuvuta bangi iko chini kwa Aibu.

Huyo mstaafu Rais wa TLS ameoa mchagga, sasa sijui mchagga Ni kada wa chama cha mbowe🤣🤣🤣

Wafuasi wote walipewa AMRI MOJA ya kumpigia kampeni, sasa wore kinyaaaaa.

Mimi nikiwaambia vijana punguzeni umsukule, vichwa kama maboga tu mnafugia nywele🤣🤣🤣🤣

Screenshot_2022-01-30-09-16-21-974_com.twitter.android.png
 
8 January 2022

TLS Tanganyika Law Society sasa hadhi yake imeshuka sana chini ya rais wao Dr. Edward Hosea :

Maamuzi ya Kujiuzuru Spika ni ya Bunge, Rais wa TLS afafanua Dr. Edward Hosea



Source : wakili tv
 
Hapa makamanda uchwara wote midomo ya kunywea mbege na kuvuta bangi iko chini kwa Aibu.

Huyo mstaafu Rais wa TLS ameoa mchagga, sasa sijui mchagga Ni kada wa chama...
Duuh sasa mambo ya wachaga na misukule inatoka wapi kwenye hoja ya mleta uzi?

Kama vijana hao unaona wana maboga wewe unamatofali ya udongo kichwani.
 
Duuh sasa mambo ya wachaga na misukule inatoka wapi kwenye hoja ya mleta uzi?
Kama vijana hao unaona wana maboga wewe unamatofali ya udongo kichwani.
Pipooooooooooooossssss.

Kamanda umeshachanga pesa za Mawakili wa mbowe?
 
Tutaikumbuka TLS iliyokuwa ina msimamo

30 October 2017
Tundu Lissu First Speech as President Of Tanganyika Law Society

 
24 April 2018

Interview na Rais wa (TLS) Fatma Karume ndani East Africa Breakfast.



atoa takwimu za mawakili waliobwaga manyanga kwa sababu mbalimbali, hivyo wakili mmoja anatoa huduma kwa wateja 25,000 hii inaonesha upungufu mkubwa wa mawakili nchini ... hivyo wananchi kukosa huduma muhimu ya uwakili..
 
11 May 2021

Prof. Palamagamba Kabudi aliyekuwa waziri wa sheria asifia alichokiita ukurasa mpya wa mashirikiano na TLS ya Rais Edward Hosea



TLS ilitembelea Wizara ya Katiba na Sheria na kukutana na viongozi wa wizara hiyo jijini Dodoma ambapo Mh Waziri Profesa Palamagamba Kabudi ahimiza ushirikiano na weledi katika kazi.

Palamagamba Kabudi asema miaka kabla ya urais wa Dr. Edward Hosea TLS ilikumbwa na .....
 
Huyo mstaafu Rais wa TLS ameoa mchagga, sasa sijui mchagga Ni kada wa chama cha mbowe🤣🤣🤣
Hii inahusiana vipi na mada?...haya ni mambo binafsi.......wewe ni mkongwe wa hili jamvi, jitahidi kuwa mwerevu kwa kujenga hoja zenye kuendana na mada husika.
 
Back
Top Bottom