Ili Muungano uwe imara Naibu Spika awe Mzanzibari

naomba kukazia maana Watanganyika tumechoshwa na huu mfumo wa "Changu Changu, Chako Changu"
Kuna watu huwa siwaelewi, yaani baada ya kutoa mawazo ya kujenga kila mara ni mawazo kidwanzi tu.

Suala la katiba mpya na utambulisho wa utanganyika ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa.

Unafiki wa wanasiasa ndio unafanya niwachukie, wanajali matumbo yao badala ya vitu vya msingi.
 
Wazenji ni wapole sana...mbilinge za bunge hawaziwezi
 
Kuna watu huwa siwaelewi, yaani baada ya kutoa mawazo ya kujenga kila mara ni mawazo kidwanzi tu.

Suala la katiba mpya na utambulisho wa utanganyika ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa.

Unafiki wa wanasiasa ndio unafanya niwachukie, wanajali matumbo yao badala ya vitu vya msingi.
Tanganyika ya kwenye vitabu vya historia?

Zanzibar ni nchi inayoishi wewe bavicha!
 
Siyo wapole wanaogopwa kwa MISIMAMO yao, yuko wapi leo aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali Zanzibar! Msimamo wake ulifanya Dkt. Shein amfute kazi... Wale hawapendi UNAFIKI.

Labda wanakuwa na misimamo wakiwa upande wa Zenji...wakiwa sehemu ya JMT hiwa wanapelekwa pelekwa tu
 
Ni ushauri tu.

Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.

Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.

Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Naye awe ni mwanamke, itapendeza
 
Ni ushauri tu.

Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.

Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.

Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Naunga mkono hoja, tena hili liingizwe kwenye kanuni, Spika akitoka upande mmoja wa Muungano, naibu Spika atoke upande mwingine.
P
 
Ni ushauri tu.

Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.

Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.

Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Hiyo nafasi ya naibu Spika usiizungumzie na kuomba kama hisani, Inapaswa hata Spika kwa vile mara nyingi katokea Tanganyika iwe sasa ni zamu ya Zanzibar ndivyo ilivyo kwenye katiba iwe ni kupokelezana, Tanganyika serikali ya muungano wanaona ni ya kwao peke yao
 
Pamoja na matusi yako nimeandika kwa kukuwakejeri nyie chawa msiokuwa na akili unaita bunge la muungano bila aibu wakati hatuioni hiyo nchi iliyoungana na Zanzibar!!?
 
Back
Top Bottom