Asalamalakum,
Nchi yetu imebarikiwa kuwa na resources nyingi sana ikiwemo dhahabu, gas, ardhi, strategic location na amani, hivi ni vitu muhimu sana kwa watu wanaotaka kujiendeleza kiuchumi...
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi.
Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi...
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie...
Katika maraisi wote hata wote waliopita baada ya hayati mwalimu nyerere raisi Magufuli ndie rais atayekumbukwa kwa mambo mengi mazuri aliyoyafanya na ambayo yatabaki kumbukumbu na kusomwa katika...
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa...
Mtandao wa DarMpya Media umeripoti makala fupi inayoonyesha hali ya Hatari ya kutoweka kwa hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kutokana na kuingiliana kwa kasi kubwa baina ya binaadamu, mifugo...
Watawala wengi wanadhani Watanzania kwa vile wengi ni Kunguru basi hawawezi hata kupima uonevu au haki ilipo au kuchanganua na kuona mambo kwa upana.
Ila niwaambie Watawala,Watanzania wengi ni...
Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa!
===
Dkt. Cyril Agustino Chami...
Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu...
Moja ya vitu ambavyo hushangaza kwa sisi watu ambao tupo kwenye ulimwengu wa 3 ni namna tunavyofanya maamuzi.
Ukweli usiopingika ni kuwa tunahitaji wanasiasa watuongoze na ndio mfumo upo hivyo na...
Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji
Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti...
Aliyekuwa Kaimu Kamishna wa wa polisi mkoa wa Dar es Salaam, Abdalah Zombe
Katika maelezo yake Zombe alisema kuwa anamshangaa Mbunge wa Arusha mjini, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya...
Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote.
Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na...
Wasalaam kutoka Ngorongoro.
JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali...
Nawandikia hivi ikiwa kuna...
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala...
Ukiyatazama yaliyofanyika wakati wa Samia, ukiacha doa kubwa la kesi ya inayoaminika ni ya kumbambikia Mbowe na makomandoo, kuna nafasi nzuri zaidi ya kuijenga Tanzania ya haki na demokrasia...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka...
Maagizo ya waziri wa Nishati Mh. January ni kwamba kutokana na Wananchi kutopewa habari juu ya mikakati pamoja na kukatika umeme basi kitengo husika kimefeli hivyo kitengo hicho kibomolewe na...