Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari...
Ukimuangalia kwa udadisi hivi karibuni, anaonekana ni mtu mwenye mawazo mazito. Ni mtu ambaye anaonekana kukosa kujiamini na hata kukosa nuru kwenye uso wake.
1. Je haamini kinachoendelea ndani...
Hakuna mwana CCM yoyote anayezungumzia juu ya mradi wa JNHP au SGR kwa uchungu. SGR, Moro Dar imebakia story. JNHP ilikuwa ikamilike June 2022 lakini sidhani kama itakamilika maaana mgao wa umeme...
Taarifa kutoka Chadema zinadokeza kwamba malengo ya kupatikana kiasi cha sh mil 20 kwa ajili ya mchango wa matibabu ya mbunge wa zamani wa Mikumi kupitia chama hicho , yametimia na kupitiliza ...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Kazi iendelee.....
Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa...
Nakumbuka Makonda alivamia Clouds.
Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake.
Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake.
Makonda akaendela kushika hatamu/patamu...
Biblia inasema " nitampiga mchungaji wa kondoo na kondoo wa kundi lake watatawanyika"
Hii ndio inavikuta vyama vibaraka aina ya CUF, TLP na Nccr.
Biblia pia inasema " mchungaji mwema wa kondoo...
"Mwanza ni Mkoa wa pili nchini kuchangia fedha nyingi katika pato la Taifa, mwaka 2019 makusanyo ya mapato yalikuwa Trilioni 10.2 na hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.35% na mwaka 2020 yalikuwa...
Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge.
Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli.
Ipyana RIP naye hakufika mbali.
Mwele tena mshumaa umezimika...
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi...
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika...
MAKOSA YANAYOFANYA WATU KUOZEA JELA NDIYO YALIYOACHWA KATIKA MABADILIKO YA SHERIA
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Makosa ya Uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha, Ugaidi, Mauaji, ikiwa ni...
Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji...
KONGAMANO LA WAMACHINGA KITAIFA NA UZINDUZI WA MACHINGA SACCOS
Shirikisho la Wamachinga (SHIUMA) Kwa kushirikiana na Machinga Mkoa wa Dar es salaam wanakukaribisha kushiriki (kufuatilia) Uzinduzi...
Nashauri wabunge wapitie hapo Ruaha mbugani watajifunza kitu muhimu sana.
Miaka ya 1980s na 1990s kulikuwa na waburushi na wasomali waliojifanya kuishi mbugani kumbe walikuwa ndio majangili wa...
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema baada ya serikali kuongea na wazalishaji wa vifaa tiba wamefanikiwa kupunguza bei ya kusafisha figo kwa wenye tatizo hilo kutoka tsh 400,000 hadi tsh...
Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali ilipanga kuongeza watumishi idara ya Elimu ili kuinua kiwango Cha Elimu nchini
Mwezi October Ummy Mwalimu alisema serikali itaajiri walimu elfu 10, kabla ya...
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita.
Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.
Swali: Mtu huyu ni nani?
Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.