CCM Temeke ndani ya Kashfa nzito

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,743
Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa Wanawake, Vijana na Walemavu.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, Almish anatumia madaraka yake kuwatishia watendaji wa Halmashauri wanaofuatilia marejesho kutoka kwa vikundi hivyo hewa.

Sambamba na taarifa hizo, huyu Mwenyekiti wa Wilaya pia alisimama kidete kumtetea yule Mwenyekiti wa Mtaa wa moja ya Mitaa ya Kata ya Toangoma aliyetuhumiwa wizi wa Tshs milion 12 ambapo hadi leo kesi ipo mahakama ya Temeke ikipigwa danadana ili kumlinda mwenyekiti yule mwizi.

Pia hata wananchi wa mtaa ule walipopeleka pendekezo na saini zao kumkataa Mwenyekiti wa Mtaa kwa sababu ana tuhuma zingine za wizi wa milion zaidi ya 20 za wananchi alitumia madaraka yake kuzuia Wilaya kutimiza wajibu wake kwa wananchi hao.

Chanzo.
DarMpya Blog
Screenshot_20220211-142344_Twitter.jpg
 
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Temeke bi Almish Hassal
20220211_144840.jpg
 
Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa Wanawake, Vijana na Walemavu.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, Almish anatumia madaraka yake kuwatishia watendaji wa Halmashauri wanaofuatilia marejesho kutoka kwa vikundi hivyo hewa.

Sambamba na taarifa hizo, huyu Mwenyekiti wa Wilaya pia alisimama kidete kumtetea yule Mwenyekiti wa Mtaa wa moja ya Mitaa ya Kata ya Toangoma aliyetuhumiwa wizi wa Tshs milion 12 ambapo hadi leo kesi ipo mahakama ya Temeke ikipigwa danadana ili kumlinda mwenyekiti yule mwizi.

Pia hata wananchi wa mtaa ule walipopeleka pendekezo na saini zao kumkataa Mwenyekiti wa Mtaa kwa sababu ana tuhuma zingine za wizi wa milion zaidi ya 20 za wananchi alitumia madaraka yake kuzuia Wilaya kutimiza wajibu wake kwa wananchi hao.

Chanzo.
DarMpya BlogView attachment 2116089
Mdomo wake tu unaeleza kuwa ni mpigaji
 
Cha kuchekesha ataanza kumsaka aliyevujisha siri badala ya kurekebisha kosa kama yule mzee alisinzia bungeni akapigwa picha akaanza kudeal na kampuni ya utengenezaji wa camera
 
Hahusiki kukagua vikundi, kama vikundi hewa, maafisa manispaa ndio wanaovihakiki,CCM haisajili vikundi
 
FLTX5N0WQBgzIHN.jpeg

20220211_154024.jpg

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Alimish Hassal anatuhumiwa kutengeneza vikundi hewa vya akina mama wilayani humo na kujipatia mkopo wa zaidi ya 300Milioni za Halmashauri ambapo ameshindwa kurejesha fedha hizo na huku akiwatishia Maofisa wa Halmashauri hiyo

My Take
Milioni 300 kwa wilaya!Aisee ni kamba ndefu sana.
 
Back
Top Bottom