Nape, Makonda na Kubenea. Ni Coincidence au kuna uhusiano?

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Nakumbuka Makonda alivamia Clouds.
Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake.
Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake.
Makonda akaendela kushika hatamu/patamu.
Wakati huo magazeti ya Kubenea yakafungiwa enzi za Mwenda zake.

Mama kaingia madarakani....
Kamteua Nape kuwa Waziri wa Wizara ile ile
Makonda hayupo tena
Kubenea kafungua kesi juu ya Makonda aliyesababisha Nape aondolewe
Nape kayafungulia magazeti likiwemo la Kubenea.
Makonda anasubiriwa mahakamani kwa kesi ya matumizi mabaya ya madaraka.

Clous watuandalie vizuri zile CCTV camera kwa ajili ya Ushahidi

Ni Mawazo yangu ila Muda ni mwalimu mzuri sana. Hebu nisaidieni kama ni Coincidence tu ama ni connected dots. Humu ma great thinka wamejaa watanidaidia.
 
Aliyeyafungulia magazeti ni mama samia na sio Nape

weka record sawa
 
Nape nomsomi pia mjanja siasa anajua kumbukeni amekua msemaji au katibu mwenezi ccm taifa enzi ambazo Dr slaa ni Dr slaa kwelikweli ,zito mzito kwelikweli lakini ccm haikufanya Mambo ya hovyo .....ngoja makonda anyoooshweeeee
 
Hakuna baiskeli inayoweza kwenda bila pedel kupishana (chini juu mbele nyuma) ndiyo utaratibu vinginevyo pedel zikiwa juu au chini au mbele au nyuma hiyo baiskeli itakuwa imesimama au inaporomoka🤣🧑‍🦽🚴‍♀️
 
Nape nomsomi pia mjanja siasa anajua kumbukeni amekua msemaji au katibu mwenezi ccm taifa enzi ambazo Dr slaa ni Dr slaa kwelikweli ,zito mzito kwelikweli lakini ccm haikufanya Mambo ya hovyo .....ngoja makonda anyoooshweeeee
Kwani anaanza kunyooshwa lini🤔
 
Nakumbuka Makonda alivamia Clouds.
Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake.
Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake.
Makonda akaendela kushika hatamu/patamu.
Wakati huo magazeti ya Kubenea yakafungiwa enzi za Mwenda zake.

Mama kaingia madarakani....
Kamteua Nape kuwa Waziri wa Wizara ile ile
Makonda hayupo tena
Kubenea kafungua kesi juu ya Makonda aliyesababisha Nape aondolewe
Nape kayafungulia magazeti likiwemo la Kubenea.
Makonda anasubiriwa mahakamani kwa kesi ya matumizi mabaya ya madaraka.

Clous watuandalie vizuri zile CCTV camera kwa ajili ya Ushahidi

Ni Mawazo yangu ila Muda ni mwalimu mzuri sana. Hebu nisaidieni kama ni Coincidence tu ama ni connected dots. Humu ma great thinka wamejaa watanidaidia.
Hakuna Aliye JUU ya SHERIA Makonda angeshtakiwa Siku nyingi sana lakini kulikuwa na RAIS MUNGU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom