Waliomfitini Dr Mwele kwa Magufuli, wanajisikiaje?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,859
Reaction score
15,055
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.

Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.

Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!

Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
 
Magufuli alikuwa CCM establishment alivyochaguliwa tu akawafukuza watoto wote wa mafisadi kazi .
 
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.

Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.

Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!

Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.

Hebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
 
Jiwe alikuwa taahira a.k.a kichaa. Aliutangazia umma mwenyewe kwamba yeye ni kichaa
 
Hebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
Poleni wafitini.
Magufuli akiamka leo atakutana na takwimu za Covid , alizozipiga marufuku.
 
Hebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
Kama sikosei alitangaza matokeo ya utafiti na wala sio janga la ugonjwa.
 
Tulisema tukiweka takwimu za uviko 19 hadharani watu watapanic....... Sijui watu wamesha panic au vip?
 
Hebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!

Pale Dr. Mwele hakutangaza outbreak ya Zika. Alikuwa anaelezea matokeo ya tafiti zilizofanyika. Moja ikihusisha watoto wenye mwonekano kama wale wa wazazi waliopata Zika kule Brazil.

Na matokeo yalikuwa chanya, yakiwa yamefanywa kwa PCR machine. Hii ilionyesha kuwa nasi hatujajitenga na haya matatizo kwani karibu nasi kuna nchi ambazo zilikwishapata Zika (mipaka yetu haina makomeo ya ugonjwa).

Uongozi wa juu ukapaniki, kwani haya ni mambo ya science, Zika ni lifelong/matatizo na uwepo wake unaweza kutambuliwa hata ndani ya miaka yote ya maisha yako. Hivyo, mtu akipata unaweza kupata ushahidi wakati wowote.

Hakumaanisha tulikuwa na outbreak, katafute kwenye kile kikao kama kuna neno outbreak au tuna janga la Zika.
Ila kupaniki kwa uongozi kulisukumwa na kilichokuwa kinaendelea Brazil na nchi za karibu na huko.
 
Umeeleza vizuri sana. Kuna watu wajinga wasioheshimu sayansi kwahiyo ukifanya utafiti kwa mambo wasioyaoyapenda hawataki kusikia matokeo yake. Iwapo angefanya utafiti kuwa watu wangapi na wa marika gani wanampenda Magufuli na akatoa matokeo yake angepandishwa na cheo
 
Naam!
Kwa muktadha ule, mtu wa kwanza ambaye either hakuelewa, au alielewa findings hizo ila kwa sababu zake kuendana na ukaribu na mamlaka ya uteuzi alimgeuka Dr… ni waziri husika ambaye wote tunamjua!
 
Kama sikosei alitangaza matokeo ya utafiti na wala sio janga la ugonjwa.

Sasa wewe umeandika nini na mimi nimeandika nini? Kwa hiyo alitangaza kuna Zika au hakuna?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale Dr. Mwele hakutangaza outbreak ya Zika. Alikuwa anaelezea matokeo ya tafiti zilizofanyika. Moja ikihusisha watoto wenye mwonekano kama wale wa wazazi waliopata Zika kule Brazil.

Na matokeo yalikuwa chanya, yakiwa yamefanywa kwa PCR machine. Hii ilionyesha kuwa nasi hatujajitenga na haya matatizo kwani karibu nasi kuna nchi ambazo zilikwishapata Zika (mipaka yetu haina makomeo ya ugonjwa).

Uongozi wa juu ukapaniki, kwani haya ni mambo ya science, Zika ni lifelong/matatizo na uwepo wake unaweza kutambuliwa hata ndani ya miaka yote ya maisha yako. Hivyo, mtu akipata unaweza kupata ushahidi wakati wowote.

Hakumaanisha tulikuwa na outbreak, katafute kwenye kile kikao kama kuna neno outbreak au tuna janga la Zika.
Ila kupaniki kwa uongozi kulisukumwa na kilichokuwa kinaendelea Brazil na nchi za karibu na huko.

Hebu acha kuandika gazeti kubwa wambie watu hata wasio elewa maana ya tafiti...mtu akisema kuna viashiria vya ebora baada ya kuwapima watu kumi na kuwakuta wawili wana viashiria vya ebora!

Hebu twambie kwa lugha nyepesi hapa mtu anakuwa ameingea nini?

Hebu wambie watu hapa kama utafiti ni jambo la uongo kiasi kwamba haikuwa na ulazima wa serikali kuchukua hatua...

Hebu wambie watu hapa kwa lugha rahisi kuwa utafiti au matokeo ya utafiti si jambo ambalo watu wanatakiwa kutilia maanani!

Hebu wambie watu kama wewe unajua taratibu za kutoa taarifa za tafiti kwa magonjwa ambayo yanaweza kuitwa majanga....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom