Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,502
- 40,185
Ukimuangalia kwa udadisi hivi karibuni, anaonekana ni mtu mwenye mawazo mazito. Ni mtu ambaye anaonekana kukosa kujiamini na hata kukosa nuru kwenye uso wake.
1. Je haamini kinachoendelea ndani ya CCM kwa sasa?
2. Ana msongo wa mawazo kuona namna team waliyoiweka na marehemu inavyopanguliwa kwa kasi kubwa?
3. Anahofia kushughulikiwa na team Msoga ambayo kwa sasa wameshikilia nafasi nyeti za maamuzi?
4. Haamini kama Humphrey kadata au ni mzima kiakili?
5. Haamini kasi ya 6G ya chief Hangaya inavyoifungua nchi?
Angalia hii picha kwa makini, unagundua nini?