Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,879
Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge.

Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli.

Ipyana RIP naye hakufika mbali.

Mwele tena mshumaa umezimika

Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000 alimgaragaza mzee Keenja rip kwenye kura za maoni pale Ubungo sema tu Mkapa akaingilia kati Keenja akatimba bungeni

Ukifika bungeni utawakuta akina Jr kibao, kwa mfano Kawawa Jr, Nnauye Jr, Kikwete Jr, Mwinyi Jr, Makamba Jr, Lowassa Jr, Ditopile Jr nk...nk. amekosekana Le mutuz na Kinje tu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Jumaa kareem.
 
Walishagombea sn wakakosa

Mkuu mimi ninachoona kuna kugombea kihalali kama mtu mwingine asiye na wazazi wenye legacy, na kuna kugombea kwa kutumia nguvu ya mzazi...

Kuna watu waliotajwa na mleta mada hapo juu, bila kushikwa mkono na wazee wao leo hii wasingekuwa na nafasi za uongozi...

Kuna wakati nishawahi kusoma maandishi ya Le Mutuz, kuwa katika maisha yake hakuwahi kutegemea cheo cha baba yake kimpe ahueni ya mambo yake...
 
Ni muungo jina tu lenyewe linatosha kumpa ulaji
 
Wazee hawa walioishi kwenye nadharia za ujamaa kindakindaki , hawakuwekeza zaidi kwenye elimu na urithi wa watoto wao. Mifano ni mingi hata Mwl hakuwekeza huko zaidi ya ikulu kuwabeba.

Rip. Mwele, nakumbuka kisa chake na marehemu Maghufuli
 
Mkuu mimi ninachoona kuna kugombea kihalali kama mtu mwingine asiye na wazazi wenye legacy, na kuna kugombea kwa kutumia nguvu ya mzazi...

Kuna watu waliotajwa na mleta mada hapo juu, bila kushikwa mkono na wazee wao leo hii wasingekuwa na nafasi za uongozi...

Kuna wakati nishawahi kusoma maandishi ya Le Mutuz, kuwa katika maisha yake hakuwahi kutegemea cheo cha baba yake kimpe ahueni ya mambo yake...
Watoto wa Mkapa unawajua mkuu?
 
Back
Top Bottom