Serikali: Mwanza ni mkoa wa pili kwa kuchangia kwenye pato la Taifa

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,202
42,061
"Mwanza ni Mkoa wa pili nchini kuchangia fedha nyingi katika pato la Taifa, mwaka 2019 makusanyo ya mapato yalikuwa Trilioni 10.2 na hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.35% na mwaka 2020 yalikuwa Trilioni 10.9 hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.38.8% "

"Katika kipindi cha miezi 6, Serikali imeleta Mwanza shilingi Bilioni 344 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya wananchi ikiwemo Bilioni 219.1 ya kutekeleza miradi ya ujenzi ambapo Bilioni 44.7 zitatumika katika ujenzi wa Stendi ya Nyamhongolo na Nyegezi"

"Serikali imeleta shilingi Bilioni 18 kwa ajili ya ujenzi wa MV Mwanza yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo, kazi imefikia asilimia 89, Ujenzi wa meli unatarajiwa kukamilika Mei, 2022 kwa gharama ya shilingi Bilioni 89.154, Serikali imeleta Mwanza Bilioni 15.2, Bilioni 8.3 kwa ajili ya kujenga Hospitali 3 za Wilaya, kumalizia Hospitali 2 za Wilaya, kujenga Vituo vya Afya 5 na Zahanati 21,kukarabati na kujenga vituo vya huduma 48 pia zimeletwa Bilioni 6.4 za kununulia dawa"

"Serikali imeleta shilingi Bilioni 174 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 pamoja na barabara za kuingia darajani zenye urefu wa kilometa 1.66, mradi huu hadi ukikamilika utagharimu shilingi Bilioni 699.278"

"Serikali inaendelea na dhamira yake ya kuliimarisha Jiji la Mwanza ambapo tayari imeshafanya mazungumzo na mwekezaji atajayejenga hotel ya kuelea majini katika Ziwa Victoria itakayosaidia kuvutia watalii na kupendezesha Jiji"——— Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa @gersonmsigwa akiwa Mwanza leo
 
Safi sana endeleeni kwa na mwendo huohuo watendaji wa mkoa
 
Tatizo mikoa kila kukicha inaongezeka mfano Manyara ilikuwa mkoa wa Arusha **** mikoa sijui Songwe, Geita , Simiyu …. Hivyo kusema mkoa gani umeongoza haina maana kihivyo
 
"Mwanza ni Mkoa wa pili nchini kuchangia fedha nyingi katika pato la Taifa, mwaka 2019 makusanyo ya mapato yalikuwa Trilioni 10.2 na hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.35% na mwaka 2020 yalikuwa Trilioni 10.9 hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.38.8% "

"Katika kipindi cha miezi 6, Serikali imeleta Mwanza shilingi Bilioni 344 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya wananchi ikiwemo Bilioni 219.1 ya kutekeleza miradi ya ujenzi ambapo Bilioni 44.7 zitatumika katika ujenzi wa Stendi ya Nyamhongolo na Nyegezi"

"Serikali imeleta shilingi Bilioni 18 kwa ajili ya ujenzi wa MV Mwanza yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo, kazi imefikia asilimia 89, Ujenzi wa meli unatarajiwa kukamilika Mei, 2022 kwa gharama ya shilingi Bilioni 89.154, Serikali imeleta Mwanza Bilioni 15.2, Bilioni 8.3 kwa ajili ya kujenga Hospitali 3 za Wilaya, kumalizia Hospitali 2 za Wilaya, kujenga Vituo vya Afya 5 na Zahanati 21,kukarabati na kujenga vituo vya huduma 48 pia zimeletwa Bilioni 6.4 za kununulia dawa"

"Serikali imeleta shilingi Bilioni 174 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 pamoja na barabara za kuingia darajani zenye urefu wa kilometa 1.66, mradi huu hadi ukikamilika utagharimu shilingi Bilioni 699.278"

"Serikali inaendelea na dhamira yake ya kuliimarisha Jiji la Mwanza ambapo tayari imeshafanya mazungumzo na mwekezaji atajayejenga hotel ya kuelea majini katika Ziwa Victoria itakayosaidia kuvutia watalii na kupendezesha Jiji"——— Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa @gersonmsigwa akiwa Mwanza leo
Ina changia pakubwa kwenye pato la taifa lakini kwenye migao ya mikopo na misaada eti inazidiwa na kajisehemu kama Zanzibar

Muungano wa kipumbavu huu
 
Kwa taarifa hii napiga picha angekuwepo yule kichaa mkabila, sijui ingekuwaje,
 
Hotel hiyo ya kuelea sasa itakuwaje, kama walishindwa kutoa mv bukoba chini ya maji.
 
Back
Top Bottom