Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake. 1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
"TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MAONO YAKE " Bi. Kate Kamba Kamati ya siasa mkoa wa Dar es Salaam leo Januari 15,2022 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan...
18 Reactions
50 Replies
4K Views
Ni ukweli unaouma lakini hatuna jinsi lazima iwe hivyo kwa mstakabali wa taifa. Tuliona Kenya kwenye handshaking ya Uhuru na Odinga wafuasi wa Uhuru walivyonuna lakini amani inaletwa kwa...
4 Reactions
9 Replies
870 Views
Raisi Mwinyi ana hoja nzito sana TRA na ZRB wabadilishane Taarifa na wafanya kazi pamoja kudhibiti wakwepa kodi Mfano alitoa ni kuwa lita za mafuta milioni 50 zililetwa Tanzania bara toka...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyo ni lecture; Anasema sub saharan Africa ni row material producers hiyo ni role yake katika uchumi wa dunia. Sub saharan countries ni muhimu kwa nchi zilizoendelea katika uchumi wake, Na...
22 Reactions
239 Replies
13K Views
Habari wanabodi naandika hapa nikiwa Na masikitiko makubwa Na huyu Waziri aliyepewa wizara nyeti kabisa Kwanza niweke wazi sijawahi mchukia Ila niliamini ni Waziri mzuri kutokana alivyofanya...
21 Reactions
100 Replies
7K Views
Auditing is a profession na trustworthy ya report is key to stakeholders. Iwapo madai ya Kigwangala yanaukweli upande wake aujachunguzwa na control measures za matumizi ambazo ahusiki nazo kuamua...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sina imani na Makamba na Rais Samia kuhusu mradi wa bwawa la Nyerere, huenda Makamba anatumiwa na nchi za kigeni. Hivi huu mgao wa umeme mnaounaje? Kiukweli maswali ni mengi mno, wanasema...
96 Reactions
311 Replies
20K Views
Picha: Rais Samia akihojiwa na DW Akiulizwa ikiwa Vyombo vya Habari kufungiwa kutategemea Hisani ya Kiongozi mmoja hadi mwingine au upo utaratibu wa kuhakikisha vinafanya kazi kama taratibu...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Baada ya Ombi la Zitto Kabwe kwa Rais Samia naamini Rais Samia ni mtu muungwana na mcha Mungu atasikia na kusaidia kuachia na Freman Mbowe kiongozi wa Upinzani Tanzania. Tukumbuke kuwa Mbowe...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Mwanzoni katika kesi ya Mbowe, Kila Pingamizi la utetezi lilikuwa linagonga mwamba na vielelezo vikawa vinapokelewa “by hooks and crooks” Utetezi ukabadili mbinu kuokoa muda wa wateja kwani...
78 Reactions
143 Replies
12K Views
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimefurahishwa na taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kupitia Afisa habari wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kwamba Mh. Rais wa JMT, Bi. Samia Suluhu Hassan akiwa ktk ziara ya...
13 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ametoa wiki mbili kwa wakurugenzi wa halmashauri tisa zilizopo mkoani humo kuhakikisha jumla ya shilingi bilioni 1.7 za mapato ya ndani ambazo hazijaingizwa benki...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mungu wa mbinguni awatangulie siku ya leo na aweze kuyatimiliza Matamanio ya Wananchi kuona Freeman Mbowe anaachiliwa kutoka kwenye minyororo ya mateso pamoja na wale Wapiganaji watatu wa JWTZ...
1 Reactions
9 Replies
527 Views
Mbuzi wa bwana Heri amekula mahindi kwenye shamba la bwana Heri na kesi ya mbuzi hao imepelekwa kwa bwana Heri. Magufuli rais mteule wa Tanzania kupitia CCM amenza kazi kwa kishindo kwa staili...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo. Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali...
17 Reactions
51 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa...
6 Reactions
80 Replies
7K Views
Mhe Rais Katika kipindi cha miezi 10 na siku kama 19 hivi za uongozi wako kama Rais wa nchi yetu, Mambo uliyoyafanya kwa nchi yetu na Watanzania yanathibitisha umahiri wako, uwezo wako, ujasiri...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…