Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini.
Mwenyekiti wa kamati...
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM...
Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama.
Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida...
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya...
Niende Moja kwa Moja kwenye lengo.
Tangu 2007 baada ya Serikali kuanguka kutokana na matokeo ya tume huru iliyoongozwa na kaka yangu Mwakyembe, watanzania waliaminishwa Lowasa ni mbaya sana...
Picha: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi
Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa hivi sasa hakuna mgonjwa hata mmoja wa Ugonjwa wa Uviko19 (Covid-19) japokuwa hawawezi kuweka wazi kama ugonjwa huo...
"Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na...
Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto...
Wanajamvi,
Waswahili walisema chelewa ufike. Na pia Bora nusu shari kuliko shari kamili.
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa hatimae kumuelewa Mheshimiwa...
Mama anazidi kuonesha jinsi alivyo na moyo wenye hekima, utu na upendo.
Tazama, amesafiri kutoka Ufaransa kwenda Ubelgiji akiendelea na ziara yake barani Ulaya. Kufika Brussels, Ubelgiji anapokea...
Awanu ya sita ni awamu ya Katiba, ni ushahidi tosha kuwa kutii na kuheshimu Katiba ya nchi kunalipa sana. Taifa limevuka salama baada ya kifo cha Mh. Rais Magufuli kwakuwa Katiba yetu haikupepesa...
Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea.
Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili...
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna...
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.
Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nje...
1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu...
Waziri Makamba umeonyesha kiwango kidogo cha ukomavu, kwa kusema wabunge wanakubana kwa sababu ya uwaziri wako.
Hii ni kauli inayopaswa kutolewa na mtu ambae sio msomi, hakuna wabunge wenye shida...
Ngorongoro ni urithi adimu sama duniani mwenyezi mungu ametupa Watanzania. Tunatakiwa tuilinde kama mboni ya macho yetu.
Cha kusikitisha watu wanawatumia Wamasai kama kivuli cha kuhifadhi mifugo...
Nilimsikiliza Zitto Kabwe, mmoja wa vigogo katika viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa Tanzania, akitoa hotuba yake katika mkutano wa Baraza la Vyama vya siasa. Nilimsikia akimuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.