RC Ally Happy atoa wiki mbili kwa wakurugenzi 9 waoneshe ziliko fedha za Umma kiasi cha TZS 1.7BL

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
1,448
1,003
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ametoa wiki mbili kwa wakurugenzi wa halmashauri tisa zilizopo mkoani humo kuhakikisha jumla ya shilingi bilioni 1.7 za mapato ya ndani ambazo hazijaingizwa benki ziwe zimeingizwa.

Aidha Hapi amewataka wakuu wa wilaya kuchunguza utolewaji mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya wanawake, watu wenye ulemavu na vijana na kuongeza kuwa ndani ya muda huo iwapo wahusika waliokula fedha hizo watabainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote.

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo, Samweli Kiboye naye amewaagiza wenyeviti wa halmashauri za Mkoa wa Mara kuhoji juu ya madai ya upotevu wa fedha hizo kwa wakurugenzi wao.

Hayo yanakuja kufuatia maagizo aliyoyatoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake mkoani humo ambapo alimuagiza mkuu huyo wa Mkoa wa Mara kuchukua hatua kwa baadhi ya watendaji ambao wanatuhumiwa katika upotevu huo wa fedha za miradi ya maendeleo.
 
Alikuwa anasubiri Hangaya aseme ndipo ainuke
 
Mwezi wa 01/2022 mkuu wa wilaya ya Njombe kwenye mkutano wa UWT alisema kuwa rais Samia ametoa pesa za kuwakopesha, hivyo lazima kila mmoja apate! Huo si mkopo.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ametoa wiki mbili kwa wakurugenzi wa halmashauri tisa zilizopo mkoani humo kuhakikisha jumla ya shilingi bilioni 1.7 za mapato ya ndani ambazo hazijaingizwa benki ziwe zimeingizwa.

Aidha Hapi amewataka wakuu wa wilaya kuchunguza utolewaji mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya wanawake, watu wenye ulemavu na vijana na kuongeza kuwa ndani ya muda huo iwapo wahusika waliokula fedha hizo watabainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote.

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo, Samweli Kiboye naye amewaagiza wenyeviti wa halmashauri za Mkoa wa Mara kuhoji juu ya madai ya upotevu wa fedha hizo kwa wakurugenzi wao.

Hayo yanakuja kufuatia maagizo aliyoyatoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake mkoani humo ambapo alimuagiza mkuu huyo wa Mkoa wa Mara kuchukua hatua kwa baadhi ya watendaji ambao wanatuhumiwa katika upotevu huo wa fedha za miradi ya maendeleo.
Nilijua amesha resign!
 
Hapi ni wa kupiga chini uchawa mwingi mno, sifa nyiiiiingi kazi hakuna, mwendo wa kuonea wafanyakazi wadogo wadogo tu wakubwa wezi hawaguswi
 
Mikopo yenyewe wanapewa wenye kadi ya ccm..bila kadi hampewi mikopo..hapo mbwa kala mbwa...mkopo ukitolewa 10% kwa walioidhinisha malipo.
 
View attachment 2122291
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ametoa wiki mbili kwa wakurugenzi wa halmashauri tisa zilizopo mkoani humo kuhakikisha jumla ya shilingi bilioni 1.7 za mapato ya ndani ambazo hazijaingizwa benki ziwe zimeingizwa.

Aidha Hapi amewataka wakuu wa wilaya kuchunguza utolewaji mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya wanawake, watu wenye ulemavu na vijana na kuongeza kuwa ndani ya muda huo iwapo wahusika waliokula fedha hizo watabainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote.

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo, Samweli Kiboye naye amewaagiza wenyeviti wa halmashauri za Mkoa wa Mara kuhoji juu ya madai ya upotevu wa fedha hizo kwa wakurugenzi wao.

Hayo yanakuja kufuatia maagizo aliyoyatoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake mkoani humo ambapo alimuagiza mkuu huyo wa Mkoa wa Mara kuchukua hatua kwa baadhi ya watendaji ambao wanatuhumiwa katika upotevu huo wa fedha za miradi ya maendeleo.
Happi pambana na wizi mkoani kwako otherwise utajuta Sana,
 
Happy aondolewe tu, kazi imemshinda, ana laana ya kutukana wazee, wazee hawamtaki
 
Back
Top Bottom