Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Ni mara mia uwe Mkuu wa Wilaya kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, japokuwa DC hana miradi na fedha hazipitii kwake.
Ukiwa DED hulali vizuri, una watumishi wengi , una miradi mingi na fedha nyingi zinazohitaji umakini wakati wote.
DC humuagiza DED. DC ni mwakilishi wa Rais kwenye Wilaya, ana power na kila kitu wakati wote na ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama (KUU).
Mshahara wa DC ni mkubwa kuliko wa DED.
Ukishakuwa DC ni rahisi sana kuwa RC , Balozi au Mkurugenzi wa Shirika kubwa.
uDED aisee hapana