Kwa Bunge hili la sasa, hakuna Spika wa kuliheshimisha

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ukweli lazima usemwe. Bunge hili la sasa limepatikana kimagumashi sana. Ni zao la 'uchafuzi mkuu' wa mwaka 2020. Wapo Wabunge waliopita bila kupingwa kutokana na sarakasi zilizochezwa na CCM yetu na serikali katika mchakato mzima wa kiuchaguzi. Yakafuata 'madhila' makubwa wakati wa kampeni na hata siku ya kupiga kura. Mwisho wa yote, ni 'matokeo' yaliyotangazwa. Hakukuwa na haki iliyoonekana wala kuzingatiwa wakati wa uchaguzi wa 2020.

Ilikuwa wazi, kimaneno na kimatendo, kuwa Mwendazake alipania 'kuumaliza' upinzani Bungeni kwa namna yoyote ile kwenye uchaguzi wa 2020. Ndiyo maana uchaguzi ukawa uchafuzi. Alifanikiwa. Wapinzani wakasambaratishwa vya kutosha na kutisha. Baadaye, (kwakuwa ni kama nchi ilirudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwenye macho ya kimataifa) ikaagizwa watengenezwe 'wapinzani' Bungeni. Wakapatikana akina Halima Mdee maarufu kama C...-19.

Kutokana na upatikanaji wake, Bunge hili lilishakosa uhalali tangu awali wa kuheshimiwa na kufuatiliwa. Limekuwa kama mkutano wetu wa CCM wa NEC, Mkutano Mkuu au KK. Katika muktadha huo, ni vigumu Bunge hili kuheshimika. Katika waliojitokeza kugombea na wasiojitokeza kugombea Uspika, hakuna mtanzania hata mmoja ambaye angewezwa kuliheshimisha Bunge hili la sasa. Bunge la chama kimoja litakuwa na 'maajabu' gani? Litakuwa na mijadala gani? Litamkosoa na kumsimamia nani? Spika Tulia hatakuwa na jipya.

Amini nawaambia, Bunge hili linateswa na upatikanaji wake. Ni kama 'void ab initio'.

Wasiojulikana sasa wamejulikana?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa)
 
Mzee Vuta - Nkuvute. Amini kuwa kuishi kwingi ni kuona mengi. Sasa unajionea mwenyewe chama ulichokuwa unakiona ni bora zaidi na kusimama kwa ajili ya wakulima na wafanyakazi, kimegeuka na kuwa cha kikundi cha chosen people, Sasa wanatengeneza empire. Kama si mwana ukoo wao, usitegemee kuingiza mguu, wala kuwasogelea karibu. Mtapeperusha bendera na kuimba nyimbo za pambio huku mkisubiri makombo ndiyo mle mpaka mwisho wa dahari.
 
Bunge lililoteuliwa na mwendazake, aliyetwaliwa baada ya kikombe cha damu aliyomwaga kufurika.

Mja zake naye kaja, kafukuza spika kaweka wa jinsia yake. Haya na tuone kama kutakuwa na lolote la maana.
 
Toka mfumo wa vyama vingi kurejeshwa, nchi hii haijawahi kuwa na bunge kwa maana halisi ya bunge ila limekuwa ni kikundi cha watu ambao kwanza wamekuwa hawachaguliwi kihalali na wananchi kuwa wabunge wao.

Ccm kuwa na fikra za kipumbavu kwamba wao ndio wenye haki ya kuitawala hii nchi bila kupewa ridhaa na wananchi ndio chanzo cha hilo wanaloita bunge kuwa kama klabu ya wanywa rubisi. Bure kabisa.
 
Ukweli lazima usemwe. Bunge hili la sasa limepatikana kimagumashi sana. Ni zao la 'uchafuzi mkuu' wa mwaka 2020. Wapo Wabunge waliopita bila kupingwa kutokana na sarakasi zilizochezwa na CCM yetu na serikali katika mchakato mzima wa kiuchaguzi. Yakafuata 'madhila' makubwa wakati wa kampeni na hata siku ya kupiga kura. Mwisho wa yote, ni 'matokeo' yaliyotangazwa. Hakukuwa na haki iliyoonekana wala kuzingatiwa wakati wa uchaguzi wa 2020.

Ilikuwa wazi, kimaneno na kimatendo, kuwa Mwendazake alipania 'kuumaliza' upinzani Bungeni kwa namna yoyote ile kwenye uchaguzi wa 2020. Ndiyo maana uchaguzi ukawa uchafuzi. Alifanikiwa. Wapinzani wakasambaratishwa vya kutosha na kutisha. Baadaye, (kwakuwa ni kama nchi ilirudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwenye macho ya kimataifa) ikaagizwa watengenezwe 'wapinzani' Bungeni. Wakapatikana akina Halima Mdee maarufu kama C...-19.

Kutokana na upatikanaji wake, Bunge hili lilishakosa uhalali tangu awali wa kuheshimiwa na kufuatiliwa. Limekuwa kama mkutano wetu wa CCM wa NEC, Mkutano Mkuu au KK. Katika muktadha huo, ni vigumu Bunge hili kuheshimika. Katika waliojitokeza kugombea na wasiojitokeza kugombea Uspika, hakuna mtanzania hata mmoja ambaye angewezwa kuliheshimisha Bunge hili la sasa. Bunge la chama kimoja litakuwa na 'maajabu' gani? Litakuwa na mijadala gani? Litamkosoa na kumsimamia nani? Spika Tulia hatakuwa na jipya.

Amini nawaambia, Bunge hili linateswa na upatikanaji wake. Ni kama 'void ab initio'.

Wasiojulikana sasa wamejulikana?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa)
Nadhani kwa technical term unalalamikia ukosekanaji wa political balance. Sio bungeni tuu ni mfumo mzima wa nchi una mapungufu ya kimsingi!
The worst part watanzania wanasubiri wanasiasa (ambao wana maslahi binafsi), walete mabadiliko.
 
Ukweli lazima usemwe. Bunge hili la sasa limepatikana kimagumashi sana. Ni zao la 'uchafuzi mkuu' wa mwaka 2020. Wapo Wabunge waliopita bila kupingwa kutokana na sarakasi zilizochezwa na CCM yetu na serikali katika mchakato mzima wa kiuchaguzi. Yakafuata 'madhila' makubwa wakati wa kampeni na hata siku ya kupiga kura. Mwisho wa yote, ni 'matokeo' yaliyotangazwa. Hakukuwa na haki iliyoonekana wala kuzingatiwa wakati wa uchaguzi wa 2020.

Ilikuwa wazi, kimaneno na kimatendo, kuwa Mwendazake alipania 'kuumaliza' upinzani Bungeni kwa namna yoyote ile kwenye uchaguzi wa 2020. Ndiyo maana uchaguzi ukawa uchafuzi. Alifanikiwa. Wapinzani wakasambaratishwa vya kutosha na kutisha. Baadaye, (kwakuwa ni kama nchi ilirudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwenye macho ya kimataifa) ikaagizwa watengenezwe 'wapinzani' Bungeni. Wakapatikana akina Halima Mdee maarufu kama C...-19.

Kutokana na upatikanaji wake, Bunge hili lilishakosa uhalali tangu awali wa kuheshimiwa na kufuatiliwa. Limekuwa kama mkutano wetu wa CCM wa NEC, Mkutano Mkuu au KK. Katika muktadha huo, ni vigumu Bunge hili kuheshimika. Katika waliojitokeza kugombea na wasiojitokeza kugombea Uspika, hakuna mtanzania hata mmoja ambaye angewezwa kuliheshimisha Bunge hili la sasa. Bunge la chama kimoja litakuwa na 'maajabu' gani? Litakuwa na mijadala gani? Litamkosoa na kumsimamia nani? Spika Tulia hatakuwa na jipya.

Amini nawaambia, Bunge hili linateswa na upatikanaji wake. Ni kama 'void ab initio'.

Wasiojulikana sasa wamejulikana?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa)
Kwa nini hukugombea wewe Ili uliheshimishe?

Usiyempenda kaja 😁😁
 
Mkuu Mzee mwenzangu VUTA-NKUVUTE, aka, Mzee Tupa Tupa, it's not necesarily, Tulia, akitulia, anaweza kuliheshimisha Bunge kama nilivyo eleza hapa
P
 
Back
Top Bottom