Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita. Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado...
25 Reactions
43 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri Mkuu wa Nchi za Falme za Kiarabu na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum Amekutana naye...
8 Reactions
72 Replies
8K Views
HOTUBA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHESHIMIWA LAZARO SAMUEL NYALANDU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2015/2016 Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E. Makampuni hayo ni pamoja na Ofisi binafsi ya biashara ya mwana Mfalme Sheikh...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa. lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion Research question...
16 Reactions
135 Replies
9K Views
KC wa ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe ameendesha semina kwa Mawaziri wote wa chama chake namna wanavyoweza kufuatilia shughuli za Serikali na kutoa mawazo yao. ACT Wazalendo ina mawaziri vivuli kwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Inavyoonekana mheshimiwa Tundu Lisu anapenda tu kuishi Ulaya kwani 2020 alifanya kampeni kwa amani nchi nzima lakini alipomaliza tu akakimbilia Ubalozi wa Ujerumani Ndio najiuliza kama huyu Tundu...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Wadau Bunge linaendelea....soma hii scenario kama ilivyotokea leo katika maswali na majibu, na kisha conclude kwa uelewa wako (ukizingatia mahusiano ya kiuchumi kati ya Tanzania na China)...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana bodi nikiri ni miaka mingi nimepotea humu. Wale mlionimiss mniwie radhi. Mods pia acha kuunganisha uzi wangu na mingine isiyohusiana na maswala haya nayoyaongelea. Turudi kwenye Mada: Siku...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake. Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kwani wananchi wengi waliamini kwamba Dkt. Kigwangalla alitumbuliwa baada ya Rais Magufuli kutamka hadharani kwamba Waziri wa Utalii anashinda mbugani akila BATA...
12 Reactions
107 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Serikali ya Tanzania kupitia Mganga Mkuu, Dk. Aifello Sichalwe, leo Jumamosi, imetoa tahadhari dhidi ya mlipuko wa Ugonjwa wa Polio, ulioripotiwa hivi karibuni nchini Malawi.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Zoom Saturday [emoji843]Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano [emoji2783] 26-02-2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia [emoji354]Saa...
1 Reactions
4 Replies
953 Views
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5 Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa...
17 Reactions
90 Replies
6K Views
UCHAMBUZI- HURUMA YA RAIS SAMIA, ILIVYOONDOA MATESO YA WATOTO SHULE SHIKIZI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua uamuzi wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Fedha za Mpango wa Ustawi na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 Anaandika Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu Ofisi ya Rais TAMISEMI tuliidhinishiwa jumla ya TZS bilioni 512.1. Kati ya hizi:- TZS bilioni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…