Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
1,169 2,000
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuze
2019-05-10_20-06-03-jpg.1093561
 
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
1,169 2,000
Alibadilishiwa majukumu ya kazi kwa sasa yupo TCRA makao makuu kama head of procurement and supply wa shirika. Ukienda utamkuta ni MTU mwema sana mkarimu na mcheshi, hapo ilikuwa kwenye mazishi ya mengi nadhani alienda kama waombolezaji wengine na maybe walikuwa na ukaribu na marehemu
Ahsanta
atleast nimeelewa sasa
 
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
7,009
Points
2,000
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
7,009 2,000
Alibadilishiwa majukumu ya kazi kwa sasa yupo TCRA makao makuu kama head of procurement and supply wa shirika. Ukienda utamkuta ni MTU mwema sana mkarimu na mcheshi, hapo ilikuwa kwenye mazishi ya mengi nadhani alienda kama waombolezaji wengine na maybe walikuwa na ukaribu na marehemu
Ahsanta
Duuuh hatari sana
 
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
1,169 2,000
Alibadilishiwa majukumu ya kazi kwa sasa yupo TCRA makao makuu kama head of procurement and supply wa shirika. Ukienda utamkuta ni MTU mwema sana mkarimu na mcheshi, hapo ilikuwa kwenye mazishi ya mengi nadhani alienda kama waombolezaji wengine na maybe walikuwa na ukaribu na marehemu
Ahsanta
Kwa mantiki hii atakua kashushwa cheo ama kapanda cheo?
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,666
Points
2,000
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,666 2,000
Alibadilishiwa majukumu ya kazi kwa sasa yupo TCRA makao makuu kama head of procurement and supply wa shirika. Ukienda utamkuta ni MTU mwema sana mkarimu na mcheshi, hapo ilikuwa kwenye mazishi ya mengi nadhani alienda kama waombolezaji wengine na maybe walikuwa na ukaribu na marehemu
Ahsanta
Mbona nilisikia kawa DSO kwenye mojawapo ya wilaya za huko Kaskazini
 
Forum statistics

Threads 1,295,450
Members 498,335
Posts 31,212,482
Top