Mbona wabunge wa CCM wanakumbana na aibu kubwa Sana majimboni kwao?

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50

Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano, alikosa watu kabisa,ikabidi mkutano aachane nao.

Jana Mbunge wa Nyamagana Mabula amepata aibu ,ya karne kwa kukosa watu kwenye mkutano wake, yaani pamoja na ukubwa wa Nyamagana bado Mabula alikosa ata watu 50 wa kumsikiliza, imebidi ahairishe mkutano.

Jana Prof Kitila mkumbo alipata aibu ya mwaka, pale alipokosa watu kwenye mkutano wake wa hadhara, yaani pamoja na jimbo la ubungo kuwa na watu wengi, Mkumbo amekosa ata watu 50 wa kuwahutubia.

Tatizo liko wapi kwa baadhi ya wabunge wa CCM kukosa kabisa uungwaji mkono kutoka kwa Raia, wakati walichaguliwa kwa kura nyingi sana

IMG_20220302_085556.jpg

View attachment 2136014
 
Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50

Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano, alikosa watu kabisa,ikabidi mkutano aachane nao.

Jana Mbunge wa Nyamagana Mabula amepata aibu ,ya karne kwa kukosa watu kwenye mkutano wake, yaani pamoja na ukubwa wa Nyamagana bado Mabula alikosa ata watu 50 wa kumsikiliza, imebidi ahairishe mkutano.

Jana Prof Kitila mkumbo alipata aibu ya mwaka, pale alipokosa watu kwenye mkutano wake wa hadhara, yaani pamoja na jimbo la ubungo kuwa na watu wengi, Mkumbo amekosa ata watu 50 wa kuwahutubia.

Tatizo liko wapi kwa baadhi ya wabunge wa CCM kukosa kabisa uungwaji mkono kutoka kwa Raia, wakati walichaguliwa kwa kura nyingi sanaView attachment 2135981
Wabunge wa Mwendazake .....!!
 
Matokeo halisi ya chafuzi zilizosimamiwa na wanakijani 2019/2020 .Kuubadili mchezo na hali hiyo ngumu, waruhusu katiba mpya na hatimae time huru. Wataipata amani ya kweli na uungwaji mkono halisi.
Nani awaunge mkono
IMG_20220302_092222.jpg
 
Kwahiyo ni upi ulikuwa ushirikishwaji wa wenye nchi wananchi🏃🏃🏃🏃🏃
Ushirikishwaji upi wakati Mwendazake alikaa na Mahela na kumuelekeza nani aende bungeni na nani asieende .... Nafikiri chuki ya Kessy na Hawa Ghasia kwa yule bwana wataenda nayo kaburini .....!!
 
Back
Top Bottom