Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa.

Kwanini nasema hivyo?

Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna anae jua yakuwa wapo tayari kuitwa mawaziri wastaafu mpaka hapo walipo?

Kimsingi hawa watu Bado Wana zile element za kutaka madaraka MAKUBWA kuliko haya waliyonayo kwa Sasa na binafsi najua Makamba na Nape Nnauye wana kazi ya kuprove Magufuli wrong kwa Kila jambo walilolifanya nae enzi hizo.

Nasema hivi kwa sababu kadhaa, kwanza waliowai mtusi nae akawasamehe ila walimtusi vibaya ingawa aliwasamehe.

Sasa fursa ya Makamba na Nape kukutana. Dubai kwao ni njia ya kujijenga kisiasa na kuona furssa ya kuiuza nchi ya Tanzania kwa ajili wao kujiandaa kutawala Tanzania mmoja wao anaamini anayo nguvu kubwa sanaaa ndani ya CCM ya kufanya kuwa Rais, mwingine kwa Sasa msio jua yeye anajipanga kuwa Waziri Mkuu baada ya Samia.

Kimsingi watu hawa walishapotea Sasa Wana kuja kwa Kasi Ili kuhakikisha kundi la Magufuli Bashiru na polepole linapotea kabisa nchini Sasa je, hilo kundi nalo litakubali?

Kimsingi uwepo wao Dubai sidhani kama una uzalendo ndani yake zaidi wanajiandaaaa kuitawala Tanzania ila wenye macho tumeisha ona.

Nape na sheria mbovu ya habari,Makamba na mkatatiko wa umeme Kila siku na mwiguru na ToZo zake hawa ni...
 
Hakuna jipya watakalofanya ambalo waliopita hawakufanya. Kama ni tamaa na vita vya madaraka hilo lipo siku zote.

Hivyo waendelee kufanya wanaloona ni sawa kwa maslahi yao lakini mwisho wa siku hakuna atakaeishi milele na wakumbuke katika kila wanalopanga kuna mpangaji mkuu zaidi, na yeye ndie muamuzi wa mwisho.
 
Hakuna jipya watakalofanya ambalo waliopita hawakufanya. Kama ni tamaa na vita vya madaraka hilo lipo siku zote.

Hivyo waendelee kufanya wanaloona ni sawa kwa maslahi yao lakini mwisho wa siku hakuna atakaeishi milele na wakumbuke katika kila wanalopanga kuna mpangaji mkuu zaidi, na yeye ndie muamuzi wa mwisho.
Jamaa wanapiga pesa kwa fujo sn
 
Kama inafaa wauze tu Ili tugawane kila MMOJA chake!!jeshi limekaa KIMYA,The state nayo imeparalyse Baada ya kutukosea watz kwa kumteua kichaa!!Sasa wameisusa nchi na wahuni wame take advantage ya makosa yao!!
 
Sasa fursa ya Makamba na Nape kukutana. Dubai kwao ni njia ya kujijenga kisiasa na kuona furssa ya kuiuza nchi ya Tanzania kwa ajili wao kujiandaa kutawala Tanzania
Hivi unaelewa hata ulichoandika? Kwamba wanataka kuiuza Tanzania halafu wajiandaye kutawala Tanzania??

Sasa wataitawalaje Tanzania wakati watakuwa washaiuza??

Huna hoja. Umetawaliwa na wivu, usukuma gang na uzabizabina.

Mbona combination ya Jiwe, Musiba, Makonda , Sabaya na Dotto James hukuihofia???
 
Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape,Mwiguru na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa.

Kwa Nini nasema hivyo?

Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna anae jua yakuwa wapo tayari kuitwa mawaziri wasitaafu mpaka hapo walipo?

Kimsingi hawa watu Bado Wana zile element za kutaka madaraka MAKUBWA kuliko haya waliyonayo kwa Sasa na binafis najua Makamba na Nape Nauye wanakazi ya kuprove Magufuli wrong kwa Kila jambo walirolifanya nae enzi hizo.

Nasema hivi kwa sababu kadhaaa, kwanza walio wai mtusi nae akawasamehe ila walimtusi vibaya ingawa aliwasamehe.

Sasa fursa ya Makamba na Nape kukutana. Dubai kwao ni njia ya kujijenga kisiasa na kuona furssa ya kuiuza nchi ya Tanzania kwa ajili wao kujiandaa kutawala Tanzania mmoja wao anaamini anayo nguvu kubwa sanaaa ndani ya ccm ya kufanya kuwa Raisi, mwingine kwa Sasa msio jua yeye anajipanga kuwa Waziri Mkuu baada ya Samia, kimsingi watu hawa walishapotea Sasa Wana kuja kwa Kasi Ili kuhakikisha kundi la Magufuli Bashiru na polepole linapotea kabisa nchini Sasa je Ilo kundi nalo litakubali?

Kimsingi uwepo wao Dubai sidhani kama una uzalendo ndani yake zaidi wanajiandaaaa kuitawala Tanzania ila wenye macho tumeisha ona.

Nape na sheria mbovu ya habari,Makamba na mkatatiko wa umeme Kila siku na mwiguru na ToZo zake hawa ni....
1646129152489.png


Shenzi, Ed and Benzai
 
Hivi unaelewa hata ulichoandika? Kwamba wanataka kuiuza Tanzania halafu wanajiandaye kutawala Tanzania??

Sasa wataitawalaje Tanzania wakati watakuwa washaiuza??

Huna hoja. Umetwaliwa na wivu, usukuma gang na uzabiazabina.

Mbona combination ya Jiwe, Musiba, Makonda , Sabaya na Dotto James hukuihofia???
Hujui usemalo fatilia au kama waweza fukua maandiko enzi za Jiwe utaona nilikuwa namtwanga hoja mpaka aanajijanbia
 
Back
Top Bottom