Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,813
- 4,544
Wanabodi,
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi watakaosimamia wa shughuli za baraza katika miaka mitatu ijayo kuanzia 2021 mpaka 2024

- Baraza limemchagua Mhashamu Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga kuwa Rais wa Baraza kwa awamu ya pili
- Limemchagua Mhashamu Askofu Flavian Kassala kuwa makamu wa Rais kwa awamu ya Pili
- Limemteua Katibu Mkuu, Padre Charles Kitima kwa awamu ya pili
- Limemteua Mheshimiwa Padre Chesco Msaga kuwa naibu mkuu wa Baraza kwa kipindi cha miaka mitatu