Christmas alikuwa mahabusu, Mwaka Mpya mahabusu, Kwaresma mahabusu; ila haachi kutabasamu na kuonesha Imani thabiti kwa Mungu wake

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Tunapoanza Ibada ya Kwaresma tunapaswa kutambua ibada hii inalenga Toba. Tumesimama kizimbani kumfurahisha Mwanadamu tukamsau Mungu; tumetafsiri vibaya neno lake tukaacha kuwaeleza ukweli wanasiasa tukiamini wao Wana nguvu kuliko Mungu; tulikaa Kimya tukiamini ayatuhusu Hadi tulipobaini kwamba Mbowe anaweza akaitafuta HAKI bila kumpigia makofi mwanadamu. Leo Kwa vinywa vyetu tumetamka adharani kwamba tatizo siyo Kosa la Ugaidi Bali tatizo ni mamlaka.

Kauli hizi zimetufanya tukubali kwamba hata Ninyi mnatuambua kwamba si kila Amri inayotoka Kwenye mamlaka za Dunia inatoka Kwa Mungu. Mmetumia miezi kadhaa kuja kutamka mlichokiamini. Kuchelewa kwenu kumechangia kujibu hoja ya HAKI iliyocheleweshwa ni SAWA na HAKI iliyonyimwa. Madhara nimakubwa kuliko faida.

Lakini pia mmezungumza wa woga tofauti na mnavyozungumza na Mungu wenu, yamkini siyo utashi wenu wala maombi yenu kwa Mungu mpate busara ya kusema Bali mmeelekezwa kusema. Je, mtaelekezwa kusema Hadi lini? Ninyi mwaongoza Watu au mwaongozwa? Utii wenu upo Kwa Watu au Kwa Mungu?

Mmesherekea sikukuu mbili na Sasa mmeingia mwezi wa Toba; Tubuni mkapate maono na nguvu mpya yakusimama madhabauni bila kutegemea fadhila za viongozi. Kaanzeni kuwaongoza badala ya kuongozwa. Adhabu yenu itawafuata
 
Kati ya watu ambao hawataiona pepo na hawaamini uwepo wa Mungu, basi ni watawala. Nina uhakika hakuna mtawala anayeamini kama kuna Mungu na mapolice officers nina uhakika hawaamini kama kuna Mungu.
 
Kati ya watu ambao hawataiona pepo na hawaamini uwepo wa Mungu.basi ni watawala..Nina uhakika hakuna mtawala anayeamini kama kuna Mungu..na mapolice officers nina uhakika hawaamini kama kuna Mungu.
Maandiko matakatifu yanatutaka kutii mamlaka, kinyume chake ni dhambi. Asiyetii hatafika kwenye ufalme wake Mungu kwa maana ya kutoiona pepo.
 
Kwamba kujichekesha chekesha ukiona Kamera kwaajili ya vipicha vya PR inamaanisha kuwa una Furaha?

Kwani Sabaya alikuwa hacheki checking?

Wewe mhaya BURE kabisa
 
Bi Mkubwa legeza shingo!! Ya dunia hayoo

Nyerere alishawahi kusema hapa duniani unabisha hakuna Mungu je ukienda kukutana nae huko itakuwaje? Niheri kukubali ili utakapomkuta isiwe tabu
 
Nadhani kapata kampani huko gerezani, anaweza kukataa kutolewa humo
 
Back
Top Bottom