Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa iliyotolewa Mbele ya Mahakama ya Uhujumu uchumi na Waendesha mashitaka wa serikali , kwamba Moja ya kielelezo kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake ni mfuko wa bei...
17 Reactions
46 Replies
7K Views
Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita. Baadhi yao wakaanza kupost picha za magari ya kijeshi yakifanya mazoezi ya...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
MSINGI mmojawapo muhimu katika utekelezaji kivitendo wa dhana ya demokrasia katika taifa lolote lile ni pamoja na kuwapo kwa uhuru wa wananchi kutoa maoni yao juu ya yale yanayoihusu nchi yao...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
1. Serekali ya CCM haijafanya hata jema moja machoni mwao tangu uhuru 2. Mahakama hutenda haki endapo tu upande unaoungwa mkono na Chadema utashinda, vinginevyo husema mfumo wa mahakama Tanzania...
11 Reactions
127 Replies
14K Views
Chalinze. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwan Kikwete amewainua baadhi ya wakuu wa idara aliokuwa ameambatana nao kwenye ziara yeke kujibu kero zilizotolewa na wananchi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Watanzania ni lazima tuwe makini sana na uwekezaji kwenye uhifadhi wa mafuta. Kwa historia ya Tanzania ni lazima tuelewe ufisadi mkubwa sana kwenye hii nchi unafanyika kwenye sehemu kuu tatu (1)...
3 Reactions
5 Replies
868 Views
Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu. Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kipo njiani kupigilia msumari maamuzi ya kuwatimua uanachama akina Mdee na wenzake, Kisha kupeleka wabunge wengine wa viti...
10 Reactions
82 Replies
6K Views
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana. Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe. Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa. Toka awali kabisa nilisema kuwa...
17 Reactions
92 Replies
5K Views
SERIKALI KUJUMUISHA ANUAI ZA JAMII KWENYE TEHAMA  Vijana, Wazee, Walemavu, Wanawake Kunufaika na Tanzania ya Kidijitali  Kuongeza Ushiriki wa Makiundi Maalum kwenye TEHAMA Na Mwandishi...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
“LOLIONDOGATE” IS BACK WITH CLIMATE CHANGE BITING DEEP IN MAASAILAND Young Maasai boy walks behind herd of cattle (Credit: Pixabay) By Winfrith Hikloch Ogola Sendeka Ole Njolayi is normally a...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Sasa imekuwa kawaida kila wanapokaa na kuketi kwenye vikao utawasikia wakisema wanataka mamlaka kamili ya nchi yao,hata washereheshaji huwaga wanaimba tunataka nchi yetu sasa tumechoka ,na mitaani...
2 Reactions
13 Replies
871 Views
Udhaifu wa vyama vya upinzani ni kugeukana kwenye critical times baada ya uchaguzi mkuu kupita. 1. Critical time ya kwanza ni 2015 baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar. Baada ya...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Jambo Member's @JF. Jambo Moderators@JF. Niende kwenye Mada yangu moja kwa moja. Jana viongozi wa madhehebu ya kidini walifanya kikao na Mh Rais wa JMT[emoji1241]. Ombi mojawapo kubwa ilikuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi. Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya...
2 Reactions
50 Replies
46K Views
Pamoja na kuwa na lengo lenye nia njema ya kumtendea haki Mbowe, sikubaliani na kauli ya kuwa Samia ampe Mbowe msamaha. Msamaha kwa kosa lipi? Inajulikana wazi kuwa Mbowe kabambikiwa kesi kwa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mashtaka katika kesi ya ugaidi waliokusudiwa kudhuliwa ni Lengai Ole Sabaya, Masoko na Vituo vya mafuta. Hivyo basi kama viongozi wa dini wanajua ukweli wa mashtaka hayo walipaswa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Historia ya uchapakazi na kujituma ni kati ya mambo mengi yanayotoa tafsiri ya uongozi wa Rais Samia Suluhu. Baada ya ziara yenye mafanikio makubwa Barani Ulaya na katika Falme za Kiarabu, Haya ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…