Kwa historia ya kale na Tanzania kulikuwa na Mfumo wa divide and Rule hii ilikuwa ni Aina au Mfumo wa uongozi.
Mfumo huu ulikuwa unatumika kuwagawa na kuwatawala.
Naam, why divide and Rule with...
Hii ndiyo Taarifa inayozagaa chini kwa chini, kwamba Jumuiya ya Kimataifa imemaliza ngwe yake kwenye kesi ya Ugaidi wa gharama nzito yenye kufikia kitita cha Tsh laki 6 inayomkabili Freeman Mbowe...
Msamaha ni jambo jema sana kama binadamu na pia ni sehemu ya ibada. Kitabu kitakatifu cha biblia tunasoma maandiko yakisema samehe saba mara sabini ikiwa na maana kwamba msamaha hauna kikomo...
Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL
===
Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege...
Siyo siri Rais Samia kaimeza aibu ya mihimili ya Serikali na Mahakama kwa ujasiri mkubwa.
Na kwa kweli waliohusika kutengeneza kesi hii ya kubambika inabidi wachukuliwe hatua zinazostahili...
Nawashauri vijana wote 854 waandike barua rasmi kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan na nyingine kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo; waombe msamaha na kujutia makosa yao au...
Tuliwaambia mapema akina viroboto au Wahuni Kama Mr.Polelepole anavyo penda kuwaita kuwa Kesi hii ni Michongo na hamuwezi kushinda lakini hamkusikia.
Karne ya 21 huwezi tumia mbinu zilizotumika...
Tupo katika kipindi cha kuliponya Taifa, kutafuta maridhiano ya kitaifa, kuujenga na kuumirisha umoja wa kitaifa. Katika kufika hapo, wapo majemedari wa mstari wa mbele. Katika kufika hapo, wapo...
Mnamo miaka ya 2009-10 wakati nikipambana kuhakikisha nahitimu shahada yangu ya uzamivu huko University of Warwick pale nchini Uingereza, vijana wa Kitanzania tulikua wapatao 12 pekee.
Kipindi...
Mapenzi kwa Taifa lako, ni kutamani kuiona nchi yako inakuwa mahali pema pa kuishi wewe mwenyewe, Watanzania wenzako wa leo, Watakaokuja hata kaka wewe hutakuwepo.
Tunaishi katika nchi duni...
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya...
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la...
Nimekuwa nikimfuatilia tangu akiwa bungeni, kub na katika siasa na matukio mbalimbali hapa nchni, nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni...
Asante sana wananchi kwa kuonyesha ari ya kutaka Katiba ya Mpya , hatimaye mmesikilizwa na mambo yanatimia hivi karibuni , Juhudi zenu Mungu amezijibu
Mungu ibariki Tanzania .
Waungwana,
Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya.
Hadi sasa mambo yako vilevile na...
Ukifuatilia suala la Mbowe tangu akamatwe na kufunguliwa kesi mahakamani,kumekuwa na lawama nyingi Sana Kwa serikali yetu na hasa juu ya utendaji kazi wa jeshi letu la polisi.
Kitendo cha maofisa...
Baada ya Mbowe kufutiwa kesi na mahakama, kufuatia ombi la DPP kutotaka kuendelea na kesi, wengi wameongea mengi. Wengine wameongea kwa kuegemea weledi wa kisheria, wengine kwa kuegemea ujinga wao...
Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe...
Mbowe ameshinda na sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kingai na genge lake kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake pale Rau Moshi.
Waanze kujichanga faster then tutawashtaki as individuals
Wanazengo, Asalaam Aleikhumu, katika mabandiko mengi humu ndani hususani katika jukwaa hili kumekuwa na na tabia ambayo kwa mtazamo wangu duni naona haya mambo ya kuitana majina ya kebehi hayana...