Je, CHADEMA wataendelea kugomea ruzuku?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Waungwana,

Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya.

Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko.

Je, Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?
 
Waungwana,

Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya.

Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko.

Je Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?
Kwani alienda jela kwa sababu ya kunyimwa ruzuku. Naona kama kuachiwa kwake kumewachanganya sana hamko logical kabisa.
 
Soon wabunge halali watapelekwa bungeni na CHADEMA watakuwa chama kikuu cha upinzani na watasikika tena
 
Sasa hao wabunge watakaochaguliwa kwanini wakiwa loyal rumble kwa mwenyekiti?
Kiukweli Mbowe anapambana kusimamia Chama
 
Waungwana,

Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya...
Kitendo cha Mbowe kuachiwa kwa Nolle, japo ni ya DPP, ukweli hii ni kazi ya Mama SA100, hivyo hapa Mama kaupiga mwingi!. Ame change the whole political dynamics za siasa za upinzani Tanzania.

Kinachofuata ni Chadema itayatambua rasmi matokeo ya uchaguzi na kupeleka majina mapya 19 ya wabunge wa viti maalum. Mikutano ya siasa itaruhusiwa, Tume ya uchaguzi iterekebishwa kuundwa Tume huru shirikishi. Chadema itapokea ruzuku na mambo sasa ni shwari.

P
 
Kitendo cha Mbowe kuachiwa kwa Nolle, japo ni ya DPP, ukweli hii ni kazi ya Mama SA100, hivyo hapa Mama kaupiga mwingi!. Ame change the whole political dynamics za siasa za upinzani Tanzania. Kinachofuata ni Chadema itayatambua rasmi matokeo ya uchaguzi na kupeleka majina mapya 19 ya wabunge wa viti maalum. Mikutano ya siasa itaruhusiwa, Tume ya uchaguzi iterekebishwa kuundwa Tume huru shirikishi. Chadema itapokea ruzuku na mambo sasa ni shwari.

P
Mmeambiwa muache siasa kwenye mambo ya kisheria.
 
Shana nzima ya nolle
 
Waungwana,

Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya.

Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko.

Je Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?

Tume huru na katiba mpya Kwa tanzania vitatokea miaka 50 ijayo

Sio sasa
 
Back
Top Bottom