Divide and Rule with Samia

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Kwa historia ya kale na Tanzania kulikuwa na Mfumo wa divide and Rule hii ilikuwa ni Aina au Mfumo wa uongozi.

Mfumo huu ulikuwa unatumika kuwagawa na kuwatawala.

Naam, why divide and Rule with Samia? Bila shaka Samia Mimi nampachika sifa ya kuwa Best Female Acrobatic (BFA) Hiki ni cheo/sifa ninayo mtunuku Samia bila kujali kipo au hakipo.

Namsifu hivi Samia si kwa uongozi wake mzuri, hapana bali kwa sarakasi anazo wachezea Wapinzani jumuisha na wana CCM yaani kwa Lugha nyepesi anawapoteza maboya. Nani asiyejuwa kuhusu sarakasi hizi?

Yaani mfumo anao tumia Samia kwa sasa ni divide and Rule kwa Sababu anacheza na akili zetu kwa kuwatenganisha harafu anawatawala.

Nani asiye juwa kuwa Dr. Slaa alikuwa mwana CHADEMA hatari? Nani asiyejuwa kuwa Mbowe ni mwana CHADEMA mzuri? Lakini huwezi amini kwa sasa kisiasa Samia kawatenganisha lakini kiutawala wote anawatawala.

Ndani ya CCM kumeibuka Matabaka Gangs yaani Nasikia sikia kuna Sukuma Gang na Mkojani Gang (Hii gang limefungamana na Msoga Gang) haya Makundi binafsi siyafahamu ila naskia mtandaoni tu.

Sasa hii mbinu imetumika ni divide hapa kundi moja limetenganishwa na kuzaa makundi kadhaa ili asielewana na Samia ame kama Suluhu kwa haya Makundi ili iwe rahisi kuwatawala.

Hivyo hivyo kwa CHADEMA kuna kundi lilizaliwa (divided) na kuitwa Covid-19 (Wabunge wasio na sifa ya Ubunge bungeni). Hebu jiulize waliokuwa CHADEMA leo hii wanaitwa Covid-19 na wanachadema wenyewe, lakini Pia hao wamekingiwa kifua na serikali na serikali hiyo hiyo ipo pamoja na wana CHADEMA wanao waita wenzao Covid-19.

Hongera mwana sarakasi wangu bora wa kike na chief wa machief (Hangaya) kwa mfumo wa divide and Rule wengine wanakuongezea sifa na kusema unaupiga mwingi.
 
"Tuambie na wing yako tasafali"

Sijui ni uzee au ndio sikuwa na shule yaani sijaelewa chochote.
Umekuwa unazungumzia habari ya makundi, mkojani, msoga, covid, sukuma n. K. Sasa wadau tungependa kujua upande wako.
 
Kwa historia ya kale na Tanzania kulikuwa na Mfumo wa divide and Rule hii ilikuwa ni Aina au Mfumo wa uongozi.

Mfumo huu ulikuwa unatumika kuwagawa na kuwatawala.

Naam, why divide and Rule with Samia? Bila shaka Samia Mimi nampachika sifa ya kuwa Best Female Acrobatic (BFA) Hiki ni cheo/sifa ninayo mtunuku Samia bila kujali kipo au hakipo.

Namsifu hivi Samia si kwa uongozi wake mzuri, hapana bali kwa sarakasi anazo wachezea Wapinzani jumuisha na wana CCM yaani kwa Lugha nyepesi anawapoteza maboya. Nani asiyejuwa kuhusu sarakasi hizi?

Yaani mfumo anao tumia Samia kwa sasa ni divide and Rule kwa Sababu anacheza na akili zetu kwa kuwatenganisha harafu anawatawala.

Nani asiye juwa kuwa Dr. Slaa alikuwa mwana CHADEMA hatari? Nani asiyejuwa kuwa Mbowe ni mwana CHADEMA mzuri? Lakini huwezi amini kwa sasa kisiasa Samia kawatenganisha lakini kiutawala wote anawatawala.

Ndani ya CCM kumeibuka Matabaka Gangs yaani Nasikia sikia kuna Sukuma Gang na Mkojani Gang (Hii gang limefungamana na Msoga Gang) haya Makundi binafsi siyafahamu ila naskia mtandaoni tu.

Sasa hii mbinu imetumika ni divide hapa kundi moja limetenganishwa na kuzaa makundi kadhaa ili asielewana na Samia ame kama Suluhu kwa haya Makundi ili iwe rahisi kuwatawala.

Hivyo hivyo kwa CHADEMA kuna kundi lilizaliwa (divided) na kuitwa Covid-19 (Wabunge wasio na sifa ya Ubunge bungeni). Hebu jiulize waliokuwa CHADEMA leo hii wanaitwa Covid-19 na wanachadema wenyewe, lakini Pia hao wamekingiwa kifua na serikali na serikali hiyo hiyo ipo pamoja na wana CHADEMA wanao waita wenzao Covid-19.

Hongera mwana sarakasi wangu bora wa kike na chief wa machief (Hangaya) kwa mfumo wa divide and Rule wengine wanakuongezea sifa na kusema unaupiga mwingi.
Upuuzi tu, hilo mkojani gang umelitengeneza wewe kwani halijawahi kusemwa popote. Kifupi analysis yako ni hisia zako na upuuzi mtupu.
 
Step aliyoifanya Mbowe juzi kukutana na Samia mnaitolea majibu mapema sana kabla ya wakati, tulieni ni wakati ndio utaongea, sio nyie mnajiongelesha.

Unaposema "divide and rule" ukimaanisha Mbowe ametekwa akili na Samia kitu ambacho kwangu naona ni kujidanganya tu na kujifurahisha, hakuna anayejielewa asiejua msimamo wa Mbowe usivyoyumba na hekima aliyonayo kwa ajili ya Tanzania na watanzania.

Kesho akiwageuka msianze kulia, nyie kaeni tu mnajiliwaza kwa vitu vidogo.
 
Upo sahihi maana hizo ni hoja zako na sina mamlaka ya kupinga hoja yako Sababu sina hoja juu ya kukinzana na wewe.
 
Step aliyoifanya Mbowe juzi kukutana na Samia mnaitolea majibu mapema sana kabla ya wakati, tulieni ni wakati ndio utaongea, sio nyie mnajiongelesha.

Unaposema "divide and rule" ukimaanisha Mbowe ametekwa akili na Samia kitu ambacho kwangu naona ni kujidanganya tu na kujifurahisha, hakuna anayejielewa asiejua msimamo wa Mbowe usivyoyumba na hekima aliyonayo kwa ajili ya Tanzania na watanzania.

Kesho akiwageuka msianze kulia, nyie kaeni tu mnajiliwaza kwa vitu vidogo.
Divide and Rule kwa mantiki Yangu.

Mbowe na Slaa waligawanyishwa na kufikia hatua ya Slaa kuchukizwa na maneno ya Mbowe siyo Gaidi

Hapo hauoni Samia anawacheza? Slaa anasema hivyo kumfurahisha Chief Hangaya harafu Mbowe amekutana na chief na anaunga juhudi za CCM (chini ya chief)
 
Mbona haya yote uliyosema hapa yalitokea kabla na enzi za jiwe?!
Dr Mihogo aliachana na wenzake CDM na UKAWA 2015 wakati wa uchaguzi mkuu,
C-19 walipatikana mwaka 2020 baada ya uchaguzi mkuu na wengine walitolewa gerazani wakaenda kula kiapo!
Kwa historia ya kale na Tanzania kulikuwa na Mfumo wa divide and Rule hii ilikuwa ni Aina au Mfumo wa uongozi.

Mfumo huu ulikuwa unatumika kuwagawa na kuwatawala.

Naam, why divide and Rule with Samia? Bila shaka Samia Mimi nampachika sifa ya kuwa Best Female Acrobatic (BFA) Hiki ni cheo/sifa ninayo mtunuku Samia bila kujali kipo au hakipo.

Namsifu hivi Samia si kwa uongozi wake mzuri, hapana bali kwa sarakasi anazo wachezea Wapinzani jumuisha na wana CCM yaani kwa Lugha nyepesi anawapoteza maboya. Nani asiyejuwa kuhusu sarakasi hizi?

Yaani mfumo anao tumia Samia kwa sasa ni divide and Rule kwa Sababu anacheza na akili zetu kwa kuwatenganisha harafu anawatawala.

Nani asiye juwa kuwa Dr. Slaa alikuwa mwana CHADEMA hatari? Nani asiyejuwa kuwa Mbowe ni mwana CHADEMA mzuri? Lakini huwezi amini kwa sasa kisiasa Samia kawatenganisha lakini kiutawala wote anawatawala.

Ndani ya CCM kumeibuka Matabaka Gangs yaani Nasikia sikia kuna Sukuma Gang na Mkojani Gang (Hii gang limefungamana na Msoga Gang) haya Makundi binafsi siyafahamu ila naskia mtandaoni tu.

Sasa hii mbinu imetumika ni divide hapa kundi moja limetenganishwa na kuzaa makundi kadhaa ili asielewana na Samia ame kama Suluhu kwa haya Makundi ili iwe rahisi kuwatawala.

Hivyo hivyo kwa CHADEMA kuna kundi lilizaliwa (divided) na kuitwa Covid-19 (Wabunge wasio na sifa ya Ubunge bungeni). Hebu jiulize waliokuwa CHADEMA leo hii wanaitwa Covid-19 na wanachadema wenyewe, lakini Pia hao wamekingiwa kifua na serikali na serikali hiyo hiyo ipo pamoja na wana CHADEMA wanao waita wenzao Covid-19.

Hongera mwana sarakasi wangu bora wa kike na chief wa machief (Hangaya) kwa mfumo wa divide and Rule wengine wanakuongezea sifa na kusema unaupiga mwingi.
 
Mbona haya yote uliyosema hapa yalitokea kabla na enzi za jiwe?!
Dr Mihogo aliachana na wenzake CDM na UKAWA 2015 wakati wa uchaguzi mkuu,
C-19 walipatikana mwaka 2020 baada ya uchaguzi mkuu na wengine walitolewa gerazani wakaenda kula kiapo!
Tumeona hata kipindi hiki Covid-19 wameongelewa ila serikali (kupitia Muhimili wa Bunge) wanasema Wabunge hao wapo kihalali bungeni.
 
Back
Top Bottom