Hakuna mwanasiasa makini kama Freeman Mbowe kwa sasa

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,789
14,873
Nimekuwa nikimfuatilia tangu akiwa bungeni, kub na katika siasa na matukio mbalimbali hapa nchni, nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa.

Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu sanaa sio hapa kwetu tu bali ulimwenguni.
Mungu azidi kumlinda na kumimarisha ili taifa liweze kufaidi busara na hekima zake.
 
Huyu ndy Mwanasiasa Mstaarabu wa kizazi hiki Katika nchi hii. Mimi naweza kumwita (Silent leader ),mana vijana wengi wanajifunza kwake juu ya nini maana ya Uvumilivu wa misukosuko ya Kisiasa. Ni mtu mwenye wafuasi wengi kwa kiwango cha juu sana Japo wengi Wanamunderstimate!!
 
Kweli kabisa,hata mimi natamani sana Hekima yake ya Utulivu na Uvumilivu ktk Hali zote anazokutana nazo.
 
Jamaa wa lumumba watafurahi sana siku Mbowe atakapoondoka kwenye nafasi yake, watapata nafasi ya kupumzika, he is my favourite.

Mbowe ametulia, haropoki, hana mihemko, ana busara, hekima, mvumilivu, kumtafutia kasoro mtu wa aina hii lazima umtungie kesi ya uongo ya ugaidi, hakuna namna nyingine unaweza kumpata kwa urahisi.
 
Uko sahihi kiongoz.
....Nadhan wengi wa wanaomu underestimate ni wapinzan wake
Huyu ndy Mwanasiasa Mstaarabu wa kizazi hiki Katika nchi hii. Mimi naweza kumwita (Silent leader ),mana vijana wengi wanajifunza kwake juu ya nini maana ya Uvumilivu wa misukosuko ya Kisiasa. Ni mtu mwenye wafuasi wengi kwa kiwango cha juu sana Japo wengi Wanamunderstimate!!
 
Aisee! Hapo ndipo tutamjua Tindo na Erythrocyte Chakaza ni akina nani!
Huyu jamaa anatumiwa na the State ku push ajenda wanazotaka wao!!kama katiba mpya!!NDIO maana walimtumia kumuinfiza jpm madarakani 2015 KWA kuihodhi nguvu ya Lowasa na kumfilisi kidogo!!Sasa katiba mpya inakuja na serikali ya mseto ambayo Mbowe ni Waziri Mkuu!!eleweni hivyo!!
 
Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu sanaa sio hapa kwetu tu bali ulimwenguni.
Ukweli mtupu, Na umethibitishwa kwa vitendo, Na 'muda tayari' umesema nasi katika hili.
 
Nimekuwa nikimfuatilia tangu akiwa bungeni, kub na katika siasa na matukio mbalimbali hapa nchni, nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa.
Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu sanaa sio hapa kwetu tu bali ulimwenguni.
Mungu azidi kumlinda na kumimarisha ili taifa liweze kufaidi busara na hekima zake.
nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa.
Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote
 
Back
Top Bottom