Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbowe ameshinda na sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kingai na genge lake kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake pale Rau Moshi. Waanze kujichanga faster then tutawashtaki as individuals
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanazengo, Asalaam Aleikhumu, katika mabandiko mengi humu ndani hususani katika jukwaa hili kumekuwa na na tabia ambayo kwa mtazamo wangu duni naona haya mambo ya kuitana majina ya kebehi hayana...
2 Reactions
6 Replies
713 Views
Salaam Wakuu Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije. Yule mwenda zake alishauriana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Yaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila.. Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma? Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death). Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Nukuu ya Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa jingo la benki, Machi 5, 2022 amemtaja staa mkongwe wa Bongo Fleva kwa kunukuu moja ya mstari wake aliowahi kuuimba...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa...
6 Reactions
147 Replies
10K Views
Barua yangu ya wazi kwa Mh Freeman Akaeli Mbowe. Mheshimiwa shaloom! Nilifurahi sana pale nilipo kuwa club house Rose mayemba akasoma ujumbe wakuwa upo huru pamoja na waliyo tarajia kuwa walinzi...
6 Reactions
11 Replies
796 Views
Nimepita mitaani, nikapitia mitandao ya kijamii, nimesikiliza watu wazima, watoto , vikongwe na watu kama hao, wanafurahi Mbowe ameachiwa na kuishangilia Chadema. Maana yake nini? Chadema iko...
7 Reactions
9 Replies
878 Views
Huna sababu ya kuwa mtabiri au kwa jina lingine anaitwa mnajimu, kujua hatma ya yatakayomkuta IGP Sirro Katika siku za karibuni. Hilo jambo ni dhahiri, aidha atajiuzulu kwa aibu au atafutwa Kazi...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameachiwa huru leo Machi 4, 2022, na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, baada...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndiyoooo.!! Katika kesi iliyofutiliwa mbali na DPP, ya Mbowe na makomandoo watatu kulikuwa kunatajwa kukamatwa kete kadhaa zilizodhaniwa kuwa ni madawa ya kulevya zilizopatikana maungoni kwa...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Chama hiki hakina Ruzuku ata sent Mia, japo waziri mwigulu aliwaomba Sana waje wachukue Ruzuku, lakini kupitia Mbowe waligomea iyo Ruzuku. Ni mwaka Sasa umepita Chadema haina Ruzuku ata ya...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
10 Reactions
121 Replies
12K Views
Habari wadau, Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa. Wakati nikiwa nimejilaza...
29 Reactions
85 Replies
7K Views
Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha. Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za...
66 Reactions
144 Replies
8K Views
Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi la barabara ya Kidatu - Ifakara. Sherehe hizo zimehudhuriwa na wabunge wote wa Chadema na CCM mkoani Morogoro. Karibu! Mkuu wa mkoa Dr Kebwe amesoma risala ya...
7 Reactions
163 Replies
22K Views
Endapo Rais WA nchi akakuita Ikulu Kwa mazungumzo ukakataa kwenda kumsikiliza Kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata? Ukitii unaweza ukamsikiliza na baada ya kumsikiliza ukaona anataka kukutoa...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri wa uwekezaji mh Mwambe amenukuliwa akisema kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo uliowahi kusainiwa huku akisahau kuwa mwaka 2015 rais wa awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
Back
Top Bottom