CHADEMA na tabia za kunguru asiyefugika!

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Mnamo miaka ya 2009-10 wakati nikipambana kuhakikisha nahitimu shahada yangu ya uzamivu huko University of Warwick pale nchini Uingereza, vijana wa Kitanzania tulikua wapatao 12 pekee.

Kipindi hiko, tulikua tukitumia muundo wa 'mp3 player' wakati wa kujiburudisha na nyimbo mbalimbali huku zoezi la ufunguzi wa vitabu katika maktaba za chuo likiendelea ili kufikia lengo katika tafiti zetu kabla ya kuhitimu.

Miaka hiyo ndipo nyimbo maarufu kutoka ardhi ya nyumbani Tanzania kutoka kwa mwanamuziki nguli "Dudubaya" zilikua zikihit sana, tulipenda kuziita santuli kali za Dudubaya, zikiwemo "Umeondoka", Mwanangu Huna Nidhamu" pamoja na "Kunguru Hafugiki".

Naandika makala haya, huku kalamu yangu ikiona namna gani CHADEMA wanadhihirisha ukosefu mkubwa wa huduma ya utashi na muunganiko wa "ki-organization" (ki-oganaizesheni) ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anapata taarifa ya kuachiwa huru kwa Muendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) kuwasilisha hati ya kutoendelea na kesi hiyo yaani "Nolle Prosequi", shangwe na furaha ilitawala sio tu kwa wana-Chadema bali pia watanzania walio wengi mitaani.

Kilichofanya kalamu yangu kuandika haya, ni tukio la kuona viongozi waandamizi wa CHADEMA wakishindwa kutumia utashi wao na kufika kuhubiri upya juu ya ile ile mienendo iliyofanya Mwenyekiti Freeman Mbowe kupata madhila ya kesi dhidi yake, hatimaye ikanikumbusha ile nyimbo maarufu ya "KUNGURU HAFUGIKI" ya DUDUBAYA.

Kunguru hafugiki, sababu hata baada ya viongozi wa dini kuamua kwa umoja wao kumuendea Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mpaka Ikulu kumuomba atumie busara zake ili muendesha mashtaka alie mteule wake aridhie kumaliza kesi ile kisiasa na kiutu uzima kwa minajili ya kuliunganisha taifa letu, bado kunguru wa CHADEMA waliinuka kusema "Sasa wanaanza kupambana upya kwa mwendo ule ule usio na adabu kwa Taifa na bendera yetu".

Kunguru hafugiki, sababu viongozi wale wa CHADEMA hawakuwa na subra ya kuzungumza na Mwenyekiti wao juu ya namna ya kuviendea vyombo vya habari juu ya suala lile, waliamua kwa mihemko na hisia na akili za kijana ambae hakupitia jando la siasa wakafunzwa katika misingi na miiko ya kufanya siasa safi na zenye kujenga nchi kwa pamoja.

Hapa inanikumbusha mbali kwa santuri ya " Mwanangu huna nidhamu".

Kudhihirisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe ni mhitimu mzuri wa siasa za Tanzania, viongozi wale walishikwa na butwaa pale ambapo Mwenyekiti alikiri kwa kusema hawezi kuongea lolote na vyombo vya habari mpaka pale watakapoketi na uongozi wa chama kisha waone namna gani sahihi ya kuzungumza.

Ni kwa kiasi gani wale viongozi wasio na misuli ya kusimamia siasa za chama, walipatwa na aibu na pigo kubwa zaidi kwao ni baada ya Mwenyekiti Freeman Mbowe kuonana na Rais Samia Ikulu usiku huo huo, nikakumbuka namna gani watoto hawa wa CHADEMA wamekosa nidhamu.

Katika muendelezo wa shughuli za siasa nchini, ni Rais Samia pekee ambae ndani ya mwaka mmoja amekutana na viongozi vyama vya upinzani kwa zaidi ya mara tatu katika matukio tofauti ili kuwaweka pamoja kama Taifa, hili linapaswa kutambulika kama hatua nzuri na yenye kuhitaji ujasiri kutoka kwa mwanamama ambae mpaka sasa ameonyesha ukomavu wa siasa na uwezo mkubwa wa kusikiliza ushauri.

Hivyo basi, CHADEMA ni vema kubadili mbinu za kisiasa na kujipanga kufanya siasa zenye tija, kesi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itupe funzo kuwa inawezekana hata Mwenyekiti wa Chama chochote nchini kukaa rumande iwapo kuna harufu ya mienendo iliyo kinyume na sheria.

Tubaki tukifahamu, Muendesha mashtaka wa serikali ameamua tu kuondoa nia ya kuendelea na kesi, haimaanishi hakuna hatia au ipo, hilo litabaki jukumu la mahakama daima, na ndipo hapa hata viongozi wote wa kisiasa na kidini walipoona ni busara kutumia mazungumzo na sio malumbano au kama ambavyo sasa vijana wanasema "Kujimwambafai".

Siasa zetu ndani ya vyama zijikite kuzalisha vijana na viongozi wenye uwezo wa kufikiri na kukosoa kwa kutenganisha HOJA na MATUSI au KEJELI dhidi ya wanaowakosoa, hii inaishia kujenga wanasiasa nguli kwenye ufalme wa matusi na kejeli kama "MDUDE NYAGALI".

CHADEMA lazima itambue, "MTOTO ASIYE NA NIDHAMU HUWA HAPEWI JUKUMU LA KUHUDUMIA WAGENI".

Hakuna muda wala saa watanzania wataona matusi na kejeli kama mbadala wa kero zao katika uhitaji wa kuhudumia jamii zao na juhudi za maendeleo kiujumla, hivyo CHADEMA inajichelewesha yenyewe kwa kuwa KUNGURU ASIEFUGIKA.

Mjumbe hauwawi, Shangwe za kuachiwa kwa Freeman Mbowe zitumike kuelekea kwenye siasa safi na zenye afya kwa kila mtanzania bila kujali ni mpenzi wa chama gani nchini.

Enzi za ukoloni, waarabu waliona "bakora" ndio njia pekee ya kumfanya mtumishi atie juhudi katika kazi na majukumu, sisi watanzania tumeshatoka huko, tusipende kuiona bakora ndipo tutambue ni heshima kiasi gani yatupasa kuiweka katika harakati zetu za siasa nchini, tujikite kwenye weledi na kujali maslahi mapana ya watanzania.

"Kunguru hafugiki, lakini pia Kunguru haliwi hata na mdudu yoyote, Kunguru ni kiumbe alietengwa na dunia kasoro uchafu na jalala pekee ndilo linampenda, CHADEMA msiwe kunguru kisha mkifikishwa jalalani muishie kulalama, twende na siasa zenye haki na tija kwetu sote."
 
Mbowe sio Gaidi,full stop!Iweje wasubiri mpaka siku ya Mwamba kuanza kujitetea ndio waweke mpira kwapani?Baada ya ushahidi wa mchongo,wengi tulishauri kesi ifutwe mara Moja!Lakini bado mkaamua kumtesa mpaka siku amejiandaa na mashahidi kibao(ambao mlitaka majina Yao na anuani zao),ndio mnafuta kesi!
Kiufupi serikali imejiepusha na aibu!
Kukosolewa Samia ataendelea kukosolewa na madai ya Katiba mpya yataendelea!
For the record,Mbowe hajawahi kutukana katika uwasilishaji wake wa hoja!
 
hatimaye ikanikumbusha ile nyimbo maarufu ya "KUNGURU HAFUGIKI" ya DUDUBAYA.

[/QUOTE]

Ungekuwa ni msomi wa PhD, tena ya kitambo kiasi hicho! Usingeshindwa kutofautisha kati ya maneno haya "nyimbo na wimbo"!

Sababu wanao changanya haya maneno mara nyingi ni wale vijana wa miaka ya 90 na 2000! Na hasa wale watangazaji wa redio za FM, na wasanii wa kizazi kipya.
 
Mnamo miaka ya 2009-10 wakati nikipambana kuhakikisha nahitimu shahada yangu ya uzamivu huko University of Warwick pale nchini Uingereza, vijana wa Kitanzania tulikua wapatao 12 pekee.

Kipindi hiko, tulikua tukitumia muundo wa 'mp3 player' wakati wa kujiburudisha na nyimbo mbalimbali huku zoezi la ufunguzi wa vitabu katika maktaba za chuo likiendelea ili kufikia lengo katika tafiti zetu kabla ya kuhitimu.

Miaka hiyo ndipo nyimbo maarufu kutoka ardhi ya nyumbani Tanzania kutoka kwa mwanamuziki nguli "Dudubaya" zilikua zikihit sana, tulipenda kuziita santuli kali za Dudubaya, zikiwemo "Umeondoka", Mwanangu Huna Nidhamu" pamoja na "Kunguru Hafugiki".

Naandika makala haya, huku kalamu yangu ikiona namna gani CHADEMA wanadhihirisha ukosefu mkubwa wa huduma ya utashi na muunganiko wa "ki-organization" (ki-oganaizesheni) ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anapata taarifa ya kuachiwa huru kwa Muendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) kuwasilisha hati ya kutoendelea na kesi hiyo yaani "Nolle Prosequi", shangwe na furaha ilitawala sio tu kwa wana-Chadema bali pia watanzania walio wengi mitaani.

Kilichofanya kalamu yangu kuandika haya, ni tukio la kuona viongozi waandamizi wa CHADEMA wakishindwa kutumia utashi wao na kufika kuhubiri upya juu ya ile ile mienendo iliyofanya Mwenyekiti Freeman Mbowe kupata madhila ya kesi dhidi yake, hatimaye ikanikumbusha ile nyimbo maarufu ya "KUNGURU HAFUGIKI" ya DUDUBAYA.

Kunguru hafugiki, sababu hata baada ya viongozi wa dini kuamua kwa umoja wao kumuendea Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mpaka Ikulu kumuomba atumie busara zake ili muendesha mashtaka alie mteule wake aridhie kumaliza kesi ile kisiasa na kiutu uzima kwa minajili ya kuliunganisha taifa letu, bado kunguru wa CHADEMA waliinuka kusema "Sasa wanaanza kupambana upya kwa mwendo ule ule usio na adabu kwa Taifa na bendera yetu".

Kunguru hafugiki, sababu viongozi wale wa CHADEMA hawakuwa na subra ya kuzungumza na Mwenyekiti wao juu ya namna ya kuviendea vyombo vya habari juu ya suala lile, waliamua kwa mihemko na hisia na akili za kijana ambae hakupitia jando la siasa wakafunzwa katika misingi na miiko ya kufanya siasa safi na zenye kujenga nchi kwa pamoja.

Hapa inanikumbusha mbali kwa santuri ya " Mwanangu huna nidhamu".

Kudhihirisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe ni mhitimu mzuri wa siasa za Tanzania, viongozi wale walishikwa na butwaa pale ambapo Mwenyekiti alikiri kwa kusema hawezi kuongea lolote na vyombo vya habari mpaka pale watakapoketi na uongozi wa chama kisha waone namna gani sahihi ya kuzungumza.

Ni kwa kiasi gani wale viongozi wasio na misuli ya kusimamia siasa za chama, walipatwa na aibu na pigo kubwa zaidi kwao ni baada ya Mwenyekiti Freeman Mbowe kuonana na Rais Samia Ikulu usiku huo huo, nikakumbuka namna gani watoto hawa wa CHADEMA wamekosa nidhamu.

Katika muendelezo wa shughuli za siasa nchini, ni Rais Samia pekee ambae ndani ya mwaka mmoja amekutana na viongozi vyama vya upinzani kwa zaidi ya mara tatu katika matukio tofauti ili kuwaweka pamoja kama Taifa, hili linapaswa kutambulika kama hatua nzuri na yenye kuhitaji ujasiri kutoka kwa mwanamama ambae mpaka sasa ameonyesha ukomavu wa siasa na uwezo mkubwa wa kusikiliza ushauri.

Hivyo basi, CHADEMA ni vema kubadili mbinu za kisiasa na kujipanga kufanya siasa zenye tija, kesi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itupe funzo kuwa inawezekana hata Mwenyekiti wa Chama chochote nchini kukaa rumande iwapo kuna harufu ya mienendo iliyo kinyume na sheria.

Tubaki tukifahamu, Muendesha mashtaka wa serikali ameamua tu kuondoa nia ya kuendelea na kesi, haimaanishi hakuna hatia au ipo, hilo litabaki jukumu la mahakama daima, na ndipo hapa hata viongozi wote wa kisiasa na kidini walipoona ni busara kutumia mazungumzo na sio malumbano au kama ambavyo sasa vijana wanasema "Kujimwambafai".

Siasa zetu ndani ya vyama zijikite kuzalisha vijana na viongozi wenye uwezo wa kufikiri na kukosoa kwa kutenganisha HOJA na MATUSI au KEJELI dhidi ya wanaowakosoa, hii inaishia kujenga wanasiasa nguli kwenye ufalme wa matusi na kejeli kama "MDUDE NYAGALI".

CHADEMA lazima itambue, "MTOTO ASIYE NA NIDHAMU HUWA HAPEWI JUKUMU LA KUHUDUMIA WAGENI".

Hakuna muda wala saa watanzania wataona matusi na kejeli kama mbadala wa kero zao katika uhitaji wa kuhudumia jamii zao na juhudi za maendeleo kiujumla, hivyo CHADEMA inajichelewesha yenyewe kwa kuwa KUNGURU ASIEFUGIKA.

Mjumbe hauwawi, Shangwe za kuachiwa kwa Freeman Mbowe zitumike kuelekea kwenye siasa safi na zenye afya kwa kila mtanzania bila kujali ni mpenzi wa chama gani nchini.

Enzi za ukoloni, waarabu waliona "bakora" ndio njia pekee ya kumfanya mtumishi atie juhudi katika kazi na majukumu, sisi watanzania tumeshatoka huko, tusipende kuiona bakora ndipo tutambue ni heshima kiasi gani yatupasa kuiweka katika harakati zetu za siasa nchini, tujikite kwenye weledi na kujali maslahi mapana ya watanzania.

"Kunguru hafugiki, lakini pia Kunguru haliwi hata na mdudu yoyote, Kunguru ni kiumbe alietengwa na dunia kasoro uchafu na jalala pekee ndilo linampenda, CHADEMA msiwe kunguru kisha mkifikishwa jalalani muishie kulalama, twende na siasa zenye haki na tija kwetu sote."
Unaandika upuuzi unapoteza muda tu
 
Ungekuwa ni msomi wa PhD, tena ya kitambo kiasi hicho! Usingeshindwa kutofautisha kati ya maneno haya "nyimbo na wimbo"!

Eti ile nyimbo ya Dudubaya iitwayo Kunguru hafugiki! Wanao changanya haya maneno mara nyingi ni wale vijana wa miaka ya 90 na 2000! Na hasa wale watangazaji wa redio za FM, na wasanii wa kizazi kipya.
Kwa hiyo ktk yote aliyoandika wewe umeona la nyimbo/wimbo ndiyo hoja ya kuongelea?
Wabongo ni watu wa ajabu sana!
 
Brother hili jambo lilikuwa siri, pia hata viongozi na wanasheria walipopata taarifa mbowe alikuwa ameshatoka kwa kisingizio cha anaenda hospital so accha kulaumu, pia NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
 
Wewe chawa tu,unataka umfuge kunguru ili umfanye nini umchinje sikukuu,kunguru ana akili endelea kuwafuga kuku
 
Mnamo miaka ya 2009-10 wakati nikipambana kuhakikisha nahitimu shahada yangu ya uzamivu huko University of Warwick pale nchini Uingereza, vijana wa Kitanzania tulikua wapatao 12 pekee.

Kipindi hiko, tulikua tukitumia muundo wa 'mp3 player' wakati wa kujiburudisha na nyimbo mbalimbali huku zoezi la ufunguzi wa vitabu katika maktaba za chuo likiendelea ili kufikia lengo katika tafiti zetu kabla ya kuhitimu.

Miaka hiyo ndipo nyimbo maarufu kutoka ardhi ya nyumbani Tanzania kutoka kwa mwanamuziki nguli "Dudubaya" zilikua zikihit sana, tulipenda kuziita santuli kali za Dudubaya, zikiwemo "Umeondoka", Mwanangu Huna Nidhamu" pamoja na "Kunguru Hafugiki".

Naandika makala haya, huku kalamu yangu ikiona namna gani CHADEMA wanadhihirisha ukosefu mkubwa wa huduma ya utashi na muunganiko wa "ki-organization" (ki-oganaizesheni) ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anapata taarifa ya kuachiwa huru kwa Muendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) kuwasilisha hati ya kutoendelea na kesi hiyo yaani "Nolle Prosequi", shangwe na furaha ilitawala sio tu kwa wana-Chadema bali pia watanzania walio wengi mitaani.

Kilichofanya kalamu yangu kuandika haya, ni tukio la kuona viongozi waandamizi wa CHADEMA wakishindwa kutumia utashi wao na kufika kuhubiri upya juu ya ile ile mienendo iliyofanya Mwenyekiti Freeman Mbowe kupata madhila ya kesi dhidi yake, hatimaye ikanikumbusha ile nyimbo maarufu ya "KUNGURU HAFUGIKI" ya DUDUBAYA.

Kunguru hafugiki, sababu hata baada ya viongozi wa dini kuamua kwa umoja wao kumuendea Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mpaka Ikulu kumuomba atumie busara zake ili muendesha mashtaka alie mteule wake aridhie kumaliza kesi ile kisiasa na kiutu uzima kwa minajili ya kuliunganisha taifa letu, bado kunguru wa CHADEMA waliinuka kusema "Sasa wanaanza kupambana upya kwa mwendo ule ule usio na adabu kwa Taifa na bendera yetu".

Kunguru hafugiki, sababu viongozi wale wa CHADEMA hawakuwa na subra ya kuzungumza na Mwenyekiti wao juu ya namna ya kuviendea vyombo vya habari juu ya suala lile, waliamua kwa mihemko na hisia na akili za kijana ambae hakupitia jando la siasa wakafunzwa katika misingi na miiko ya kufanya siasa safi na zenye kujenga nchi kwa pamoja.

Hapa inanikumbusha mbali kwa santuri ya " Mwanangu huna nidhamu".

Kudhihirisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe ni mhitimu mzuri wa siasa za Tanzania, viongozi wale walishikwa na butwaa pale ambapo Mwenyekiti alikiri kwa kusema hawezi kuongea lolote na vyombo vya habari mpaka pale watakapoketi na uongozi wa chama kisha waone namna gani sahihi ya kuzungumza.

Ni kwa kiasi gani wale viongozi wasio na misuli ya kusimamia siasa za chama, walipatwa na aibu na pigo kubwa zaidi kwao ni baada ya Mwenyekiti Freeman Mbowe kuonana na Rais Samia Ikulu usiku huo huo, nikakumbuka namna gani watoto hawa wa CHADEMA wamekosa nidhamu.

Katika muendelezo wa shughuli za siasa nchini, ni Rais Samia pekee ambae ndani ya mwaka mmoja amekutana na viongozi vyama vya upinzani kwa zaidi ya mara tatu katika matukio tofauti ili kuwaweka pamoja kama Taifa, hili linapaswa kutambulika kama hatua nzuri na yenye kuhitaji ujasiri kutoka kwa mwanamama ambae mpaka sasa ameonyesha ukomavu wa siasa na uwezo mkubwa wa kusikiliza ushauri.

Hivyo basi, CHADEMA ni vema kubadili mbinu za kisiasa na kujipanga kufanya siasa zenye tija, kesi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itupe funzo kuwa inawezekana hata Mwenyekiti wa Chama chochote nchini kukaa rumande iwapo kuna harufu ya mienendo iliyo kinyume na sheria.

Tubaki tukifahamu, Muendesha mashtaka wa serikali ameamua tu kuondoa nia ya kuendelea na kesi, haimaanishi hakuna hatia au ipo, hilo litabaki jukumu la mahakama daima, na ndipo hapa hata viongozi wote wa kisiasa na kidini walipoona ni busara kutumia mazungumzo na sio malumbano au kama ambavyo sasa vijana wanasema "Kujimwambafai".

Siasa zetu ndani ya vyama zijikite kuzalisha vijana na viongozi wenye uwezo wa kufikiri na kukosoa kwa kutenganisha HOJA na MATUSI au KEJELI dhidi ya wanaowakosoa, hii inaishia kujenga wanasiasa nguli kwenye ufalme wa matusi na kejeli kama "MDUDE NYAGALI".

CHADEMA lazima itambue, "MTOTO ASIYE NA NIDHAMU HUWA HAPEWI JUKUMU LA KUHUDUMIA WAGENI".

Hakuna muda wala saa watanzania wataona matusi na kejeli kama mbadala wa kero zao katika uhitaji wa kuhudumia jamii zao na juhudi za maendeleo kiujumla, hivyo CHADEMA inajichelewesha yenyewe kwa kuwa KUNGURU ASIEFUGIKA.

Mjumbe hauwawi, Shangwe za kuachiwa kwa Freeman Mbowe zitumike kuelekea kwenye siasa safi na zenye afya kwa kila mtanzania bila kujali ni mpenzi wa chama gani nchini.

Enzi za ukoloni, waarabu waliona "bakora" ndio njia pekee ya kumfanya mtumishi atie juhudi katika kazi na majukumu, sisi watanzania tumeshatoka huko, tusipende kuiona bakora ndipo tutambue ni heshima kiasi gani yatupasa kuiweka katika harakati zetu za siasa nchini, tujikite kwenye weledi na kujali maslahi mapana ya watanzania.

"Kunguru hafugiki, lakini pia Kunguru haliwi hata na mdudu yoyote, Kunguru ni kiumbe alietengwa na dunia kasoro uchafu na jalala pekee ndilo linampenda, CHADEMA msiwe kunguru kisha mkifikishwa jalalani muishie kulalama, twende na siasa zenye haki na tija kwetu sote."
You stupid elite!

Lazima ifikie hatua ujasiri ukomae ili ulete heshima unayoisemea japo wewe unaizungumzia heshima ya kibaguzi, heshima ya chama dola ccm kama mnavyokiita.

Heshima ya ANC ya South Africa haikuja kwa kukaa matakoni mwa Wazungu na kunena kwa unyonge!
Lazima chama kiwe kikubwa kiache unyonge, kisimamie haki na matakwa ya watu, uungwaji mkono uongezeke, nguvu iwe kubwa ilete hofu kwa mahasimu wao hatimae kishike dola.

Huko uingereza ulienda kusomea ujinga?

Utumwa na ubwana hautokuondoka kwa unyonge (huo unaouita heshima).

Upinzani nchini umeimarika kwa kuwa ndiyo chombo pekee cha kusimama na wananchi pale wanaponyonywa, pale wanapoonewa.

Hawana mahala pengine pa kukimbilia, leo hata vyama vya wafanyakazi haviwasemei wanyonge maana serikali imewaweka mamluki ndani, hawako huru. Unategemea ni nani atawasemea?

Heshima unayoihubiri inamaana ya kudumisha hofu na uoga hata unaponyonywa!

Shame on you msomi mpumbav wa UK!
 
WanaSiasa wenye tabia za ki-M.alaya Ma.laya aliwahi kunena baba wa taifa...
 
Back
Top Bottom