Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa miezi takribani 4 sasa umeme umekuwa unakatwa kwa makusudi na watu wa Tanesco kwa kile kinachoitwa upungufu wa umeme nchini. Tanzania inazalisha umeme toka vyanzo mbali mbali na moja ya...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote." Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
This is absolutely strange indeed. Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka. Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo sheikh wa Dar es Salaam, Mussa Alhadi kabla hajaomba dua kwenye hafla iliyomjumuisha Rais Samia, alitoa salamu za kamati ya amani kumshukuru kwa kutimiza maombi yao ya kumuachilia huru Mbowe...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro amesema hakuna mtu anaweza kufanya mauaji na asikamatwe na Jeshi la Polisi. Kamanda Sirro alikuwa anazungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji. Sirro...
2 Reactions
83 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Huwa ninasema na nitaendelea kusema kuwa CHADEMA ni tawi tiifu la CCM. Hata sasa mijadala ya kisiasa inayoendelea wafuasia wa Chadema ni "follower" wa makada wa CCM. utasikia "Samia...
10 Reactions
100 Replies
7K Views
"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa...
14 Reactions
64 Replies
6K Views
TAFSIRI HALISI YA KUFUTWA MASHITAKA YA MBOWE. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241 Nimemsikia Mbowe akisema kuwa hakutaka kufutiwa mashitaka bali alitaka kesi ifike mpaka mwisho/ hukumu...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo...
64 Reactions
210 Replies
26K Views
Asilimia kubwa ya waliopo humu JF ni watu wenye IQ kubwa sana. Nilichokiona suala la kuachiwa Mbowe ni suala kubwa na halikwepeki kuchukuwa nafasi kubwa katika media hasa za ndani including hapa...
2 Reactions
9 Replies
968 Views
Japo havijaanza leo lakini vitendo vya rushwa, kubambikia kesi na uonevu kwa raia chini ya IGP sirro vimekithiri ukilinganisha na miaka ya nyuma Kukithiri kwa vitendo hivi ni kiashiria kwamba IGP...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga...
13 Reactions
78 Replies
8K Views
Agenda ya US$100B kwa nchi masikini baada ya Rais Samia kurejea nchini tutarajie chochote kutoka COP26? "Hakuna kama Samia " Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197...
18 Reactions
177 Replies
11K Views
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo...
12 Reactions
110 Replies
10K Views
Tanzania Law Professor Scoops World’s Environmental Rights Award Tanzania’s Dr. Elifuraha Laltaika has won a World’s environmental rights award becoming the first African Scholar to win the...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Ili maridhiano ya jambo lolote yawepo ni lazima kuwe na misingi iliyokiukwa(katiba), nyie mnataka msridhiano badala ya kuitaka mahakama ihakikishe yote yaliyomo kwenye katiba yanafuatwa. CCM...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…