Ikumbukwe kwamba ile Taasisi bora ya wakina Mama kwa sasa Barani Africa inayoitwa BAWACHA, inaadhimisha SIKU YA WANAWAKE DUNIANI mkoani Iringa, hapo ndio walipoamua kulifanya jambo hili.
Sasa...
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.
They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders...
Huwa naikumbuka sana picha ya Rais Samora Machel aliyopiga na P W Botha ,Wazir Mkuu wa Africa Kusini,tarehe 13 March 1984.
Wakati huo nilikuwa darasa la Tatu.Baba alikuwa akienda mjini anarudi...
Wasalaam!
Jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza baada ya serikali kuweka wazi kuwa haito endelea na case ya Mbowe na wenzake ambo walikuwa na tuhuma za ugaidi. Mbowe na wenzake wanayo haki ya kudai...
Sherehe za Siku ya wanawake duniani kitaifa zinafanyika Zanzibar katika viwanja vya Maisara na mgeni rasmi ni Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan.
Sherehe ziko mubashara ITV, TBC na Channel ten...
Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo
Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa
Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao...
Na je, wananchi wanafahamu kwamba wabunge wao wako bungeni kwa niaba yao na kwamba wakifanya kinyume wawawajibishe?
Katiba ya Tanzania, ibara 63 (2) iko wazi kwa jambo hili: “Sehemu ya pili ya...
Chereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa.
Kwenye kadhia hii kuna watu...
Abuu Kauthar
Huku ninapoishi, Mburahati Barafu, katika wiki moja, umeme ulikatika siku sita kwa saa kuanzia sita hadi 14. Katika baadhi ya siku, umeme ulikatika mara kadhaa. Kukatika huko kwa...
Hatuwezi kuzungumzia jitihada zilizofanyika kwa kupitia makundi mbali mbali yaliyo himiza na kuomba mheshimiwa Mbowe afutiwe kesi ya ugaidi.
Jambo kubwa na liloilo la muhimu ni kwa jinsi gani...
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akikagua ujenzi wa shule ya Sekondari inayojengwa katika Kijiji cha Msolwa kilichopo...
Kumekuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (civic space), yaani ushiriki huru katika masuala ya kidemokrasia nchini Tanzania kabla na baada ya uchaguzi wa tarehe 28 Oktoba...
Niliwatahadharisha kupitia thread zangu za nyuma kuwa, hii kesi ilikuwa imeikalia vibaya serikali,na at the end Mbowe atakuwa the winner, watu mlinipinga Ila ukweli mmeuona.
Mbowe ni...
Tuseme ukweli tu...
Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi...
Pongezi nyingi kwenu viongozi wetu Mama Samia na Mheshimiwa Mbowe. Kwa hakika kama taifa mmetutoa kimasomaso.
Mama Samia kauvaa ushujaa kwa kutuondolea aibu taifa hili na kuamua kutuunganisha...
" Mimi Freeman Mbowe namshukuru Mungu nimebarikiwa hivi nilivyo sihitaji baraka nyingine ya cheo wala fedha, siasa kwangu ni wito wa kuihudumia jamii. Nitamshauri yoyote awe kamanda wa polisi au...
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Ambassador Donald J. Wright amezungumzia maamuzi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake kuachiwa huku na...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amemuhakikishia aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo ambaye kwa sasa ni Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu...
Nimemsikia Mbowe na mtazamo wake kuhusu haki na amani. Tukimsikiliza yeye tutaendelea kupotea- HAYATOKI MOYONI.
Katika nchi yetu hii kwa sababu ya ujio wa vyama vingi- kuaminiana, kuheshimiana...