Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,998
Niliwatahadharisha kupitia thread zangu za nyuma kuwa, hii kesi ilikuwa imeikalia vibaya serikali,na at the end Mbowe atakuwa the winner, watu mlinipinga Ila ukweli mmeuona.
Mbowe ni international figure, huwezi mpa kesi kizembe afu husipate pressure inside and outside. Nina uhakika waliopanga hii kesi, hawakujua ukubwa wa Mbowe, na waliprint charge sheet yenye page 224[emoji1]. Apo wakajiona wamesuka kesi hatari so Mbowe hachomoki.
Kilicho wakuta wanajua wenyewe, kina Kingai walikuwa wanatetemeka kizimbani, Sirro amepotea mazima haongei Tena .
Kwa hali ilivyo, na influence aliyonayo Mbowe, lazima serikali imuogope Kama Odinga wa Kenya, na Trump wa USA. Hawatodhubutu Tena kumpa kesi ya uongo, hawatorudia tena hili kosa.
Finally Mbowe ni mwanaume amegoma kupigia magoti watawala, mpaka wame surrender.
Live long Mr Freeman Mbowe.