Kuachiwa Mbowe na Wenzake, Tanzania imeshinda

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,820
35,827
Pongezi nyingi kwenu viongozi wetu Mama Samia na Mheshimiwa Mbowe. Kwa hakika kama taifa mmetutoa kimasomaso.

Mama Samia kauvaa ushujaa kwa kutuondolea aibu taifa hili na kuamua kutuunganisha bila kujali maumivu kokote.

Mheshimiwa Mbowe japo muathirika mkuu wa kadhia hii, kwa maslahi ya taifa kaamua kusamehe mara 7 x 70.

"Nani kama Mh. Mbowe na nani kama Mama Samia, madam president?"

IMG_20220201_083925_354.jpg

Hata hivyo wapo wale ndugu ambao ije mvua au lije jua, zao ni kukaanga mbuyu tu, na kuwaachia wenye meno watafune.

Watu hawa hawaishi chokochoko uzandiki, fitina, uchonganishi na vyote vya namna hiyo. Hawana furaha na amani, wala maendeleo ya nchi hii.

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Kutwa kucha na vihoja uchwara vyao wakishadadia mifarakano:

CHADEMA ni tawi tiifu la CCM

Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti CHADEMA

Tuwakane hadharani watu hawa bila kujali itikadi zao.

Tuwakemee hadharani watu hawa kwa maana kwa hakika katu, hawa si wenzetu.
 
It was a good move, kuanza mwanzo mpya zika tofauti zilizokuwepo tuanze moja kama taifa. Maneno ya kuambiwa na wasaidizi wenye nia mbaya ayaache, kuwindana na kutoaminiana ni adui mkubwa zaidi kwa mustakabali wa taifa letu.

Kutomuamini Mbowe kwa kile alichofanya ni kumkosea heshima, mtu aliejitoa maisha yake na mali zake kwa ajili ya kuitumikia Chadema na watanzania leo kumuhisi amehongwa ni dharau, ameharibiwa mali zake, amefungwa jela na kila aina ya baya alilofanyiwa bado amesimama.

Leo tunamkatisha tamaa kwa kumtilia shaka, kutaka kwake maelewano na washindani wetu imekuwa nongwa, tunataka tuendelee kuviziana matokeo yake tuendelee kutegana, maneno ya kutunga ya wajinga wachache yanawachanganya mpaka "wazoefu" nao wanalegea, wanampa Mbowe muda?! wow.

Kesho maadui wakisema Lissu alihongwa alipokuwa Ubelgiji tena ataaminiwa, kesho kutwa watamtafuta mwingine Chadema wampachike kashfa ya uongo nayo iaminiwe, mwishowe nani ataiongoza Chadema? nani atabaki kama watu watakuwa wanadanganyika kirahisi hivyo?
 
Kwahio hii Blunder na loss of Freedom ya Mtu na Upotevu mkubwa wa Pesa unamaliza kwa Kumpa Samia Credit ? Kwa lipi ?

Ni kama nikuzabe Kibao alafu nikupe dawa ya kujitibu maumivu alafu unisifu kwa wema wangu...

Hapa hakuna Mshindi ila sio vibaya kuanza kama ukikosea its never too late to do the right thing..., ila sio uanze kujisifia kwa kurekebisha ubovu ambao wewe ni part ya kuutengeneza...

Safari bado ndefu ila sio mbaya kama we are on the right track which hopefully we are...
 
Pongezi nyingi kwenu viongozi wetu Mama Samia na Mheshimiwa Mbowe. Kwa hakika kama taifa mmetutoa kimasomaso.

Mama Samia kauvaa ushujaa kwa kutuondolea aibu taifa hili na kuamua kutuunganisha bila kujali maumivu kokote...
Samia kama ataendelea kuiga matengo ya Uhuru Kenyatta atakuwa Rais bora kabisa Africa
 
Kwahio hii Blunder na loss of Freedom ya Mtu na Upotevu mkubwa wa Pesa unamaliza kwa Kumpa Samia Credit ? Kwa lipi ?

Ni kama nikuzabe Kibao alafu nikupe dawa ya kujitibu maumivu alafu unisifu kwa wema wangu...

Umepandikizwa tokea Lumumba ipi wewe unayetaka kujifanya kuipenda CDM kuliko Mh. Mbowe?

IMG_20220201_083925_354.jpg

CDM isn't for the weak!

Habari ndiyo hiyo.
 
Umepandikizwa tokea Lumumba ipi wewe unayetaka kujifanya kuipenda CDM kuliko Mh. Mbowe?

View attachment 2141850

CDM isn't for the weak!

Habari ndiyo hiyo.
Duh kweli akili ni Nywele..., Rudia kusoma ulichoandika alafu nilichojibu....

Kusamehe ni Moja na Kumsifu Samia kwa Blunder zilizotokea wakati yeye akiwa kwenye administration is quite another...

Pili kama unadhani effect na upotevu na gharama ya hizi Sarakasi ni personal kwa Mbowe pekee na kama Taifa hatujapoteza kwa hii Mihimili kuendelea kufanya kazi kama personal toys za watu / mtu basi we have different point of views (lets agree to disagree) na wewe endelea kuwa Cheerleader wa Mama Samia na watu wa aina hiyo ya Ku-create matatizo na kuyasolve...
 
Wapi unapoona u cheerleader wa mama Samia?

Hiiiiii bagosha?

Uliwahi kusikia maneno matupu yamevunja mfupa? Watu kama ninyi bila kufahamu ni liability kwenye struggle. Msipoangalia, tutawakana hadharani na hasa wakati tunasubiri msimamo rasmi kuwa:

1. tunatoka vipi kuhusu katiba mpya?
2. Kamanda Lissu anarejea lini?
3. nini hatma ya mikutano ya kisiasa?
4. lini CDM kama chama kinakutana na mama?

Karibu kwenye uwanja wa mapambano chini ya CDM iliyodhamiria kuikomboa nchi kutoka kwenye ujinga.

Habari ndiyo hiyo.
 
Wapi unapoona u cheerleader wa mama Samia?

Hiiiiii bagosha?

Uliwahi kusikia maneno matupu yamevunja mfupa? Watu kama ninyi ni bila kufahamu ni liability kwenye struggle. Msipoangalia, tutawakana hadharani hasa wakati tunasubiri msimamo rasmi kuwa:

1. tunatoka vipi kuhusu katiba mpya?
2. Kamanda Lissu anarejea lini?
3. nini hatma ya mikutano ya kisiasa?
4. lini CDM kama chama kinakutana na mama?

Karibu kwenye uwanja wa mapambano chini ya CDM iliyodhamiria kuikomboa nchi kutoka kwenye ujinga.

Habari ndiyo hiyo.
I call a Spade a Spade..., That's my Motto...

When enough people make false promises, words stop meaning anything. Then there are no more answers, only better and better lies. Jon Snow

In this day and age Politicians are associated with liars (greedy untrustworthy liars) so calling a spade a big spoon just to get what you need is playing by that definition.., instead of doing the right thing is all about scratch my back and I will scratch yours...
 
I call a Spade a Spade..., That's my Motto...

When enough people make false promises, words stop meaning anything. Then there are no more answers, only better and better lies. Jon Snow

In this day and age Politicians are associated with liars (greedy untrustworthy liars) so calling a spade a big spoon just to get what you need is playing by that definition.., instead of doing the right thing is all about scratch my back and I will scratch yours..

Interesting.

Why haven't you been demonstrating relentlessly against all the prevailing injustices?

1. Didn't you know Mbowes's case was unjust?
2. Don't you know Moses Lijenje isn't back yet?
3. Don't you know we need a new constitution?
4. Don't you know we need Ben Sanane, Azory and others, back?
5. Don't you know political gatherings are rights, legal and just?
6. Etc, etc

Where have you been hiding as you call your spades by their names?

Doesn't the below pic really mean anything to you?

IMG_20220304_154503_924.jpg

Surely?

😂😂

Hiiiiii bagosha!

Cc: denooJ
 
Interesting!

Why haven't you been demonstrating relentlessly against all the prevailing injustices?

1. Didn't you know Mbowes's case was unjust?
2. Don't you know Moses Lijenje isn't back yet?
3. Don't you know we need a new constitution?
4. Don't you know we need Ben Sanane, Azory and others, back?
5. Don't you know gatherings are legal?
6. Etc, etc

Where have you been hiding as you call the spades by their names?

Doesn't the below pic mean anything to you?

View attachment 2141912

Surely?

😂😂

Hiiiiii bagosha.
Do you even know what we are now discussing ? Cause I don't....

I am against your implications that you need to lick Samia's Boots for these things be okay / which am telling you in not so many words it might not make a difference....,

You can negotiate, you can compromise the way forward by setting a better way..., but you don't have to put lipstick on a pig or call injustice justice or giving Credit where its not due just so you can negotiate...
 
Nakusoma vyema ndugu pandikizi:

IMG_20220307_122958_527.jpg

Uzi pendwa:

Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

Kawaambie waliokutuma - "HAYADANGANYIKI!"
 
Back
Top Bottom