Maisara Zanzibar: Rais Samia mgeni rasmi Siku ya Wanawake Duniani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Sherehe za Siku ya wanawake duniani kitaifa zinafanyika Zanzibar katika viwanja vya Maisara na mgeni rasmi ni Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan.

Sherehe ziko mubashara ITV, TBC na Channel ten.

Wote mnakaribishwa.

Kwaresma njema!
 
Back
Top Bottom