Ushauri: BAVICHA wana kubwa sana la kujifunza kutoka kwa BAWACHA

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Hii Spirit waliyonayo BAWACHA aise ni ya kuhamisha Mlima. Wana Moral ya hatari kitu ambacho ndani ya BAVICHA wakiwa kama vijana hakipo kabisa, sina mengi ya Kuzungumza ila ningekua Kiongozi wa Chama kile Either niwape mda mfupi sana wa kujitathmini BAVICHA kama BAVICHA ama Suddenly ningefumulia mbali Uwongozi wa BAVICHA.

BAVICHA ya Sasa ni Quit differnt in a Comparison na BAVICHA ya Kina Heche, Mnyika na ZZK,mbaya Zaidi ukilinginisha na hali ya Siasa ya Miaka Sita ya Nyuma.

Kongole sana Baraza La Wanawake Chadema.
 
Sijui kwa nini siku hizi kichwa yangu ni ngumu kuelewa.
 
Si walipokonywa vyeo na Covid , lazima wawe na Mori , ukiwa unamtafuta lazima uwe aggressive
 
... ila msiwalaumu sana Bavicha; ni vijana wadogo wasio na resources nyingi tofauti na Bawacha at least sio watu wa kuomba sana nauli wanapotakiwa kwenda kwenye shughuli za chama.
 
Back
Top Bottom