Eneo Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote

Mtu akisema hakuna muafaka wa kitaifa wa vyama vya kisiasa mwambie sio kweli kwenye posho bungeni na marupurupu muafaka upo
 
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote

Mtu alisema hakuna muafaka wa kitaifa wa vyama vya kisiasa mwambie sio kweli kwenye posho bungeni na marupurupu muafaka upo
 
Mmh sijui umekula maharage ya wapi,bunge la CCM limekuwa na wapinzani tena au ni wale cov19 ndio unawaita wapinzani? .
 
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote

Mtu alisema hakuna muafaka wa kitaifa wa vyama vya kisiasa mwambie sio kweli kwenye posho bungeni na marupurupu muafaka upo
Si kweli usemacho, mbona mara nyingi wabunge wa Chadema walisusa vikao vya bunge hivyo kuzikosa posho.
 
Mbunge yupi wa Chadema aliomba posho za vikao zikatwe kodi au kupinga zisiongezwe au zipunguzwe au zibaki hapo hapo pendekezo la nyongeza likipelekwa?
 
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote

Mtu alisema hakuna muafaka wa kitaifa wa vyama vya kisiasa mwambie sio kweli kwenye posho bungeni na marupurupu muafaka upo
Na hiki ndicho kinachowapeleka bungeni.
 
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote

Mtu alisema hakuna muafaka wa kitaifa wa vyama vya kisiasa mwambie sio kweli kwenye posho bungeni na marupurupu muafaka upo
Posho na Pension nono la Tsh 250M kila baada ya miaka 5.

Ndio maana mtu akipoteza Ubunge anakuwa kama amechanganyikiwa.

Ubunge una Hangover ya hatari sana.
 
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote

Mtu alisema hakuna muafaka wa kitaifa wa vyama vya kisiasa mwambie sio kweli kwenye posho bungeni na marupurupu muafaka upo
Tutajie kwanza hao wabunge wa upinzani wanaokubaliana na wale wa ccm
 
Back
Top Bottom