Mwanza: ACT Wazalendo wanyang’anywa ofisi na Wafuasi wa CUF

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Iliyokuwa Ofisi ya CUF Mwanza baadaye ikageuzwa kuwa Ofisi ya ACT Wazalendo Mkoa, leo wenyewe CUF wameirudisha.

=====

Maandalizi Ya Kuibadilisha Iliyokuwa Ofisi Ya ACT Mkoa Wa Mwanza, Ilemela, Baada Ya Viongozi Na Wanachama Hao Kujiondoa Act Na Kurudi CUF.
 
Laana ya kumtukama Magufuli haitamwacha salama Zito kabwe na Lisu.
Ulivo mjinga, Lissu ni mwanachama wa ACT? Na kati ya Lissu na Magufuli nani kalaaniwa tayari?

Nikusaidie tu acha kuishi kwenye kivuli cha binadamu mfu maana nawe unakuwa sawa tu na mfu, ishi na walio hai
 
CUF haitakuja juu ,na wasahau kuwepo tena katika ulingo wa siasa, hio ni roho ya anaekata roho wakati anaelekea motoni ,mateke mikiki lakini wapiiiii ndio imetoka hio,hamna cha CUF tena ,ngoja waanze kukamatana mashati kudai hela za mgao na ndio jamaa mmoja kilichompeleka huko .kuisaka ile hela iliyoachwa wakati ,wengine waliposhusha tanga na kupandisha tangani.
 
Labda
Laana ya kumtukama Magufuli haitamwacha salama Zito kabwe na Lisu.

Labda Zitto lakini Lissu kabarikiwa ndio maana risasi zilishindwa kumuua. Ushahidi ya kwamba Mungu anakulinda ni pale janga kubwa linapokupata.
 
hiyo sio ofisi nyumba ya kawaida tu na vyumba vingine wapo wapangaji halafu chumba kimoja ndo kinatumika kama ofisi, hiyo nyumba mwenye nayo ndo alikua anagombea ubunge kwa tiketi ya ACT ilemela, ni mwanamke, sasa karudi cuf kachukua nyumba yake kwani kuna tatizo?

hata mimi niliwai kupanga hapo room baadae nikahama
 
Kwani hadi iitwe ofisi mpaka iwe na vyumba vingapi.
 
Iliyokuwa Ofisi ya CUF Mwanza baadaye ikageuzwa kuwa Ofisi ya ACT Wazalendo Mkoa, leo wenyewe CUF wameirudisha.

=====

Maandalizi Ya Kuibadilisha Iliyokuwa Ofisi Ya ACT Mkoa Wa Mwanza, Ilemela, Baada Ya Viongozi Na Wanachama Hao Kujiondoa Act Na Kurudi CUF.
View attachment 2146582
Jengo sio chama wee kenge, chama ni wananchi pale buguruni si lipumba kaachiwa jengo haya tuambie CUF imefika wap?
 
Iliyokuwa Ofisi ya CUF Mwanza baadaye ikageuzwa kuwa Ofisi ya ACT Wazalendo Mkoa, leo wenyewe CUF wameirudisha.

=====

Maandalizi Ya Kuibadilisha Iliyokuwa Ofisi Ya ACT Mkoa Wa Mwanza, Ilemela, Baada Ya Viongozi Na Wanachama Hao Kujiondoa Act Na Kurudi CUF.
View attachment 2146582
Yale yale ya Makonda na GSM.

Pale mhuni anapotaka kumwibia mhuni mwenzie
 
Back
Top Bottom