Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,927
Mama ni muungwana na anafwata ushauri wa kikwete na jk alikuwa ni mtu muungwana.
MFANO WA MWANDOSYA
Wakati wa utawala wa jk MWANDOSYA alikuwa tishio sana na infact MWANDOSYA na JK walishazinguana miaka ya 90 wakati wa utawala wa mwinyi. Wakati huo JK alikuwa waziri wa nishati na MWANDOSYA alikuwa karibu mkuu. Ugomvi wao ulisuluhishwa na mzee mwinyi.
Japo bifu lilidumu na JK alipokuwa rais alimpa wizara MWANDOSYA lakini baadae ili amdhibiti vizuri akampa wizara isiyokuwa na jukumu lolote pale ikulu. Huu ni uungwana aliotumia jk kumvuta MWANDOSYA ili amdhibiti na vyombo vya udhibiti vya ikulu (tiss);
MFANO WA KABUDI NA LUKUVI
Team waungwana kama kawaida inafwata Mfumo wa jk kabudi na mwenzake lukuvi walishaonyesha kuwa threat kwa system ya mama kwahiyo kuitwa ikulu ni ile dhana ya kuwa karibu na adui ili udhibiti. Hata kapolepole kamepelekwa kule ili kadhibitiwe kumbuka vipepeo weusi hawana mipaka na jicho la mwewe halitambui mipaka ya kijografia.
Kinyume na team sukuma ile iliumiza watu na adui alifinywa barabara.