Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshiriki Uzinduzi wa Wiki ya Maji huko Simanjiro Mkoani Manyara iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa...
Mkiitegemea serikali kwenye kila jambo matokeo yake ndio haya mtaililia na lisipatikane jibu
Zaidi mtaletewa siasa mpaka kwenye uhai wenu hao mnao wategemea hawana uchungu na nyinyi
Kwa sababu...
Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani...
Kwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la!
Anzia dakika ya 6:00...
Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania washughulike na masuala ya unyanyasaji kuanzia ngazi za familia ili linapokwenda kitaifa iwe rahisi kulikabili.
Ametaja changamoto kubwa iliyopo...
Salaam,
Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa...
Leo chama kikuu cha upinzani CHADEMA kitakuwa na Kikao cha Kamati kuu ambacho kimeitishwa kwa mujibu wa Katiba.
Tunategemea kusikia mambo mengi mazuri kutoka ndani ya kikao hicho na tunaamini...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa...
Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe amesema suala la ving'amuzi lisingefika hapa lilipo kama watu wa sekta binafsi ya habari wangekuwa wanakiri makosa ili kurekebishana
Azam, DSTV na Zuku...
Nyama na mchicha zote ni mboga, tofauti yao ni utamu na gharama! Nyama iko juu ya mchicha!
Cha kushangaza vyote vikioza nyama inanuka na kutia kinyaa sana kuliko mchicha.
Maana yake ni kwamba...
Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika;
Police wetu @tanpol wamekuwa wanyama.Jana Kigoma Uwanja wa mpira wameua Raia anaitwa Bw.Juma Ramadhani Bichuka kwa kumpiga Risasi mbili ya paja na tumbo...
KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa...
Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu.
Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki...
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome...
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi...
Akihutubia maelfu ya wananchi wa Misenyi, Rais Magufuli amesema yeye maisha yake ataishi Karagwe na ndivyo alivyopendekeza na sio Chato
Akiwa na tabasamu na furaha kubwa kuhusu Karagwe sina shaka...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa NHC Nehemiah Mchechu na ameiagiza Bodi ya Shirika hilo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Huduma...
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.
Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu...