Ameandika Malisa GJ.
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu chanjo ya Corona katika nchi nyingi za Afrika. Baadhi ya viongozi wa dini wamedai chanjo hiyo inalenga kupunguza idadi ya watu weusi...
MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022...
Hakika Mungu yupo!
Tungeshuhudia Vita Kali ya Dunia, yenye maangamizo makubwa ya watu na Mali zao
Hali ya maisha ya watu ingekuwa ngumu Sana! Hakika Mungu wa Ulimwengu ametuokoa!
Huyu ndiye...
BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI (EACOP)
✍🏻 Huu ni mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani...
Taarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya...
Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na...
Moja kwa moja kwenye mada.
Madam President atapitia upya sheria za Kodi ikiwemo kuondoa Kodi sumbufu na kukatwa Kodi mara mbili mbili yaani double taxation.
Kwa hatua hizi ni wazi Rais ameamua...
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imekagua utekelezaji wa Mradi wa Kupanga, Kupima na Kurasimisha Wilayani Bunda, Mkoa wa Mara. Mradi huu umetekelezwa ikiwa ni sehemu ya fedha Bil. 50...
Wanasiasa usiwaamini
Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya...
Kwenye hili la Jeshi la Polisi wa kulaumiwa 90% ni Serikali ya CCM na 10% ni lawama kwa jeshi lenyewe.
Ni ukweli usiopingika jeshi letu la polisi lina changamoto nyingi kuliko madhaifu yake, na...
Si bahati mbaya kuwa kuna vyama vimechagua kufanya siasa zisizo kuwa na haki.
Machungu mengi tunayo yashuhudia chimbuko lake ni kukosekana kwa haki.
Ikumbukwe kuwa nchi ni mali ya wananchi...
Hukumu iliyotolewa jana kwa Ole Sabaya, kuwa alikuwa jambazi la kutumia silaha kupora mali za wananchi, vile vile limeupaka matope utawala wa Magufuli.
Kwamba mteule wa Rais, akafanya mambo...
Katibu mkuu wa CCM komredi Chongolo amesema hali ya kisiasa nchini ni nzuri na mahusiano baina ya vyama vya siasa yameimarika sana sana.
Viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakikutana wao kwa...
Vita ya mradi wa Rufiji sio ya kwanza Afrika.
HUENDA wengi hawajui visa vya mabwawa ya kufua umeme na historia ya Afrika. Nimeona bora niwaelimishe. Mabwawa haya yana kitu kinaitwa 'geo-politics'...
Habari zenu wakuu??
Samia suluhu hassan amehojiwa leo na mtangazaji salim kikeke katika mwaka mmoja Tangua aiingie madarakani
nini mtazamo wako kuhusiana na mwaka mmoja wa mama samia?
Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.
Hata hivyo, pamoja na figisu nyingi za JPM katika mambo mbali mbali, mengine ambayo yalikuwa miradi ya upendeleo ulio...
Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee.
Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la...
Huyu ni JUMA ALI KHATIB Mkiti wa chama cha ADA-TADEA zamani TADEA. Ndie mkiti wa baraza la vyama. Ofisi yake iko wapi? Ni mkutano gani alishawahi kufanya popote TZ? Chama chake kimeshiriki...
Tunaona waandishi wengi wakifanya Interview na Viongozi wetu mara nyingi nchini.
Lakini kuna mahali wanapwaya sana,pale wanaposhikwa na vigugumizi kuuliza maswali magumu.
kwa Viongozi wetu...
Kati ya vitu ninavyoshindwa kuelewa ni kama hili suala.
Naombeni kwanza mniambie mimi mwananchi wetu sehem gani au ni mkoa gani ambao mmejitenga wenyewe
Maana haiwezekani wananchi wenu gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.