Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya Habari Machi 18, 2022

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,608
218,024
Mwenyekiti_wa_Chama_Taifa_Mhe._%40freemanmbowetz_kesho_Machi_18%2C_2022_saa_5%3A00_asubuhi_ata...jpg

Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa kote duniani .

Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa ataongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama , Nje ya Jiji la Dar es Salaam Kinondoni , mtaa wa Ufipa , Tarehe 18/03/2022 kuanzia saa 5 asubuhi .

Kaa tayari kupewa taarifa za maamuzi mazito yaliyotolewa na Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hivi Karibuni .

Wote Mnakaribishwa .

Mungu ibariki Chadema
 
Akwende huko.

Mimi nilipoteza imani kwa mshikaji tangu alipokubali kuingia kwenye uchaguzi mkuu 2020 kwakuwa uligusa ugali wake huku ule wa serikali za mitaa 2019 aliususia kwakuwa haukugusa maslahi yake
 
View attachment 2154363

Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa kote duniani .

Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa ataongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama , Nje ya Jiji la Dar es Salaam Kinondoni , mtaa wa Ufipa , Tarehe 18/03/2022 kuanzia saa 5 asubuhi .

Kaa tayari kupewa taarifa za maamuzi mazito yaliyotolewa na Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hivi Karibuni .

Wote Mnakaribishwa .

Mungu ibariki Chadema
Kitanda unatandika saa ngapi maana unavyohangaika na huyo aliyeomba msamaha utadhani wewe ndo mnyika.
 
View attachment 2154363

Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa kote duniani .

Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa ataongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama , Nje ya Jiji la Dar es Salaam Kinondoni , mtaa wa Ufipa , Tarehe 18/03/2022 kuanzia saa 5 asubuhi .

Kaa tayari kupewa taarifa za maamuzi mazito yaliyotolewa na Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hivi Karibuni .

Wote Mnakaribishwa .

Mungu ibariki Chadema
Sijawahi kujutia kumsikiliza huyu mwamba.

Ni mmoja kati ya watu wachache sana waliobalikiwa kuwa na mvuto wa kusikilizwa na kila mtu mwenye akili timamu
 
Back
Top Bottom