Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimesema kitafanya mkutano wake wa Baraza kuu 25/04/2022.
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema kama kuna rufaa zozote kutoka kwa...
Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini.
Hii ni kutoka...
Tunapoona Marekani wakitoa hamasa kufikia kulipa dola mia moja sawa na laki mbili na ishirini plus ya Tanzania kwa mtu kuchanjwa inafanya nijihoji kwanini wao ulimwengu wa Kwanza wanadhani watu...
Nawakumbusha wana CCM wenzangu na watanzania kwa ujumla. Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan. Na sasa ni awamu ya 6. Rais Samia atakuwa madarakani kwa miaka 9.
Rais Samia, the irone lady with...
Imekuwa kawaida ya viongozi wa Chadema kukaririwa wakisema ...
"Dunia yote ituelewe"
As if Dunia yote huwa iko attention na uwepo wao au mikutano yao.
Humu ndani kuna wafia chama cha...
Njia ya Mpinzani kuwaletea wananchi maendeleo nikumshinikiza mwenye dola aelekeze nguvu kwa wananchi na asilale.
Njia ya mwenye dola yakuwasaidia wananchi nikuwapelekea mahitaji Yao kama...
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP...
Kuna Hili tunaoendelea nao....kushukuru na kumwaga sifa kwa kila mradi unaotekelezwa humu nchini kuwa umeletwa na kutekelezwa na rais. Ni kweli rais Yuko juu ya kila kitu Kama katiba yetu...
Wanabodi,
Kweli tumetimiza mwaka mmoja tangu Rais Samia aingie madarakani. Shangwe na vigelegele kila tunapo kumbushwa kuhusu miradi inayo endelea kusimamiwa na Rais. Mema yamefanyika, tuendelee...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo yaliyotolewa na tume zilizoundwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na baadhi ya askari polisi baada ya malalamiko ya wananchi yataleta “mabadiliko kidogo...
BBC Swahili wanaripoti mahojiano Yao na Tundu lisu akisema anarudi home ila maisha yake anamtegemea rais Samia .
Hapa Mungu na Chadomo wamepigwa kwapa na Sasa jamaa anawatumainia wanaccm ndio...
ARUSHA NA 365 ZA SAMIA.
Tunasheherekea ujenzi wa Tanzania Mpya yenye furaha, matumaini na isiyo na hofu ikiambatana na ukuzaji wa uchumi wa Nchi pamoja na uimarishaji wa huduma za kijamii...
Kama Kuna sector mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.
Hajaishia hapo lkn pia ameamua...
Leo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amezungumza na waandishi wa habari na kuelezea maazimio ya kamati kuu.
Pia ametumia fursa hiyo kuelezea mazungumzo yake na Rais Samia,Pamoja na ushiriki wa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda ambaye pia ni Rais wa Skauti ameteua kamati ya mpito ya watu watatu kusimamia shughuli za kiutendaji za Skauti nchini na Uchaguzi...
Wapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu.
Wakiona serikali inajenga shule, hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu.
Nimeshuhudia mabadiliko...
Mi nauliza tu jamani, hii ndege inachemsha ama? Maana ile ndege ya Mwenyekiti wa Barrick ilichukua masaa 21 tu kutoka Canada hadi Tanzania, sasa hii ndege inakuwaje mpaka isafiri toka Mwezi wa 3...
Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake.
Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.
Jana...