voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Imekuwa kawaida ya viongozi wa Chadema kukaririwa wakisema ...
"Dunia yote ituelewe"
As if Dunia yote huwa iko attention na uwepo wao au mikutano yao.
Humu ndani kuna wafia chama cha Chadema,ebu nisaidieni kuelewa kwa vielelezo.
Na mtowe mfano humu kuonyesha hata wafuasi wenu wakiwafuatilia kutoka hata nchi moja ya jirani hapa?
Acheni kujikuza maana nina uhakika hilo halipo!
Kama mnabisha wekeni ushahidi hapa,bila matusi.......
View attachment 2155642View attachment 2155643