Wakuu, kwanini kila mradi tunamshukuru Rais?

Oneya

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
235
Reaction score
244
Kuna Hili tunaoendelea nao....kushukuru na kumwaga sifa kwa kila mradi unaotekelezwa humu nchini kuwa umeletwa na kutekelezwa na rais. Ni kweli rais Yuko juu ya kila kitu Kama katiba yetu inavyoeleza.

Ipo miradi mingi tu na pia kila Kona ya nchi matatizo ni lukuki vikiwemo ukosefu wa maji, huduma mbovu ya barabara, miundo mbinu mibovu ya madarasa na ukosefu mkubwa wa vyumba vya walimu. Tafasiri kwa misifa yote hii ni kuwa mtekelezaji huyo mmoja uenda amefeli kutekeleza sababu Yuko pekee yake.

Kama taifa tunachotakiwa kufanya na kumsaidia rais ili tung'are kitaifa na kimataifa ni kufanya kazi kwa bidii. Sisi tunakuwa na fikra finyu kuwa kila kitu lazima tupewe na rais wa nchi. Viongozi wetu hawana uthubutu wa maamuzi Bali wanafanya Yale yanayoelekezwa na siyo kuwa creative. Tungeweza kujitegemea kwa mawazo hivi sasa tungekuwa mbali sana.

Tuna resources kibao sasa kwanini tushindwe! Na kwa nini tumsubiri rais Hadi aandae filamu ya kuvutia watalii?. Wizara husika inafanya nini....na vipi kuhusu sekta binafsi?.

Ili yote hii iweze kutimia kwa kuwa na maendeleo Pana, imara na yenye tija ni kila mtu mahali pake kufanya kazi kwa bidii. Tusiwe watu wa kusubiri kupokea japo ni haki ya serikali kurudisha maendeleo baada ya kukusanya Kodi. Sekta binafsi ifufuliwe na kamwe isiingiliwe Kama ilivyokuwa katika awamu ya Magufuli ambapo vita Kama ilikuwa baina ya serikali na matajiri.

Wito wangu ni tufanye kazi na tuache uzembe wa kusubiri kusifia kila Jambo linalofanyika kuwa ni juhudi ya rais. Kama ni hivyo basi rais pia alaumiwe na kila mradi unaoshindikana na viwanda vingi vilivyokufa na kupoteza ajira ya maelfu ya wenzetu.

Tuwe na siku njema.
 
Kuna Hili tunaoendelea nao....kushukuru na kumwaga sifa kwa kila mradi unaotekelezwa humu nchini kuwa umeletwa na kutekelezwa na rais. Ni kweli rais Yuko juu ya kila kitu Kama katiba yetu inavyoeleza. Ipo miradi mingi tu na pia kila Kona ya nchi matatizo ni lukuki vikiwemo ukosefu wa maji, huduma mbovu ya barabara, miundo mbinu mibovu ya madarasa na ukosefu mkubwa wa vyumba vya walimu. Tafasiri kwa misifa yote hii ni kuwa mtekelezaji huyo mmoja uenda amefeli kutekeleza sababu Yuko pekee yake.
Kama taifa tunachotakiwa kufanya na kumsaidia rais ili tung'are kitaifa na kimataifa ni kufanya kazi kwa bidii. Sisi tunakuwa na fikra finyu kuwa kila kitu lazima tupewe na rais wa nchi. Viongozi wetu hawana uthubutu wa maamuzi Bali wanafanya Yale yanayoelekezwa na siyo kuwa creative. Tungeweza kujitegemea kwa mawazo hivi sasa tungekuwa mbali sana. Tuna resources kibao sasa kwa nini tushindwe! Na kwa nini tumsubiri rais Hadi aandae filamu ya kuvutia watalii?. Wizara husika inafanya nini....na vipi kuhusu sekta binafsi?.
Ili yote hii iweze kutimia kwa kuwa na maendeleo Pana, imara na yenye tija ni kila mtu mahali pake kufanya kazi kwa bidii. Tusiwe watu wa kusubiri kupokea japo ni haki ya serikali kurudisha maendeleo baada ya kukusanya Kodi. Sekta binafsi ifufuliwe na kamwe isiingiliwe Kama ilivyokuwa katika awamu ya Magufuli ambapo vita Kama ilikuwa baina ya serikali na matajiri.
Wito wangu ni tufanye kazi na tuache uzembe wa kusubiri kusifia kila Jambo linalofanyika kuwa ni juhudi ya rais. Kama ni hivyo basi rais pia alaumiwe na kila mradi unaoshindikana na viwanda vingi vilivyokufa na kupoteza ajira ya maelfu ya wenzetu. Tuwe na siku njema.
Asante Kwa andiko zuri,
1.Tuanze kumlaumu Rais Kwa fedha ya miradi inapotafunwa.
2.Kwa miradi kutekelezwa chini ya kiwango.
3.Kwa miradi kuchelewa.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
kwa sababu raisi ni cheo, na kwa cheo hicho aweza fanya maamuzi mazuri ama mabayaa

mfano maraisi wa Ukrane vs Russia, hawa walitakiwa wachapwe vibokoo, yaani wagonjwa/wazee/watoto wasio na makosa wanauawa katika ulimwengu wa leoo...ilihali natural calamities zatosha kutunyoosha binadam
 
Aina ya urais tulio nao ni Urais wa Kifalme, Rais ndiye anateua watu karibia katika mihimili na ngazi zote za juu za taasisi karibia zote, anafanya hivyo bila hata ridhaa ya bunge. Anateua Mawaziri, wakuu wa vyombo vya usalama, majaji, mabalozi, DPP, CAG, gavana, Wakurugenzi, Katibu wakuu, RC, DC, Wakuu wa bodi, Wakuu wa vyuo, RAS, DAS n.k

Rais anaweza kuanzisha na kuusitisha mradi wakati wowote hata kama hauko kwenye ilani ya chama chake.

Rais ndiye anayekopa pesa za miradi kadri yeye atakavyoona inafaa, kwenye mataifa yaliyopevuka kidemokrasia matumizi na mikopo yote ya serikali lazima bunge liidhinishe.
 
Mpaka Sasa Hivi Utapingwa Na Wengi Sana
Unajiuliza Sifa Hizi Ni Za Kutoka Moyoni Laa Hasha
Mwingi Ni Unafki Wasaka Tonge Ndiyo Oops

Tangu Mzilankende Watu Walijitoa Akili Yaani
 
Tulisahahama kabisa kuanzia kwa magufuli namna ya kuendesha siasa.kipindi Cha kikwete kurudi nyuma ilikua serikali imetoka kiasi kadhaa nk. Lkn kuanzia jiwe na huyu mama ni kuwatukuza kinafik tu mpaka inakera.
 
Kuna Hili tunaoendelea nao....kushukuru na kumwaga sifa kwa kila mradi unaotekelezwa humu nchini kuwa umeletwa na kutekelezwa na rais. Ni kweli rais Yuko juu ya kila kitu Kama katiba yetu inavyoeleza.

Ipo miradi mingi tu na pia kila Kona ya nchi matatizo ni lukuki vikiwemo ukosefu wa maji, huduma mbovu ya barabara, miundo mbinu mibovu ya madarasa na ukosefu mkubwa wa vyumba vya walimu. Tafasiri kwa misifa yote hii ni kuwa mtekelezaji huyo mmoja uenda amefeli kutekeleza sababu Yuko pekee yake.

Kama taifa tunachotakiwa kufanya na kumsaidia rais ili tung'are kitaifa na kimataifa ni kufanya kazi kwa bidii. Sisi tunakuwa na fikra finyu kuwa kila kitu lazima tupewe na rais wa nchi. Viongozi wetu hawana uthubutu wa maamuzi Bali wanafanya Yale yanayoelekezwa na siyo kuwa creative. Tungeweza kujitegemea kwa mawazo hivi sasa tungekuwa mbali sana.

Tuna resources kibao sasa kwanini tushindwe! Na kwa nini tumsubiri rais Hadi aandae filamu ya kuvutia watalii?. Wizara husika inafanya nini....na vipi kuhusu sekta binafsi?.

Ili yote hii iweze kutimia kwa kuwa na maendeleo Pana, imara na yenye tija ni kila mtu mahali pake kufanya kazi kwa bidii. Tusiwe watu wa kusubiri kupokea japo ni haki ya serikali kurudisha maendeleo baada ya kukusanya Kodi. Sekta binafsi ifufuliwe na kamwe isiingiliwe Kama ilivyokuwa katika awamu ya Magufuli ambapo vita Kama ilikuwa baina ya serikali na matajiri.

Wito wangu ni tufanye kazi na tuache uzembe wa kusubiri kusifia kila Jambo linalofanyika kuwa ni juhudi ya rais. Kama ni hivyo basi rais pia alaumiwe na kila mradi unaoshindikana na viwanda vingi vilivyokufa na kupoteza ajira ya maelfu ya wenzetu.

Tuwe na siku njema.
Wengi wao wanalinda teuzi zao na wengine wanatafuta uteuzi kwa kujikomba!
 
Mazuri yote sifa kwa rais ila vikiumana ni watendaji kutumbuliwa,kama sifa ni za rais hata lawama ni zake.
CCM huwekeza kwenye taasisi ya urais kwa ajili ya kufanikisha agenda ya uchaguzi unaofuata.Kwao kampeni ni jambo endelevu,ukiisha uchaguzi moja wanaanzisha kampeni ya uchaguzi unaofuata.Ndiyo maana kila kitu kipo centred kwake.
 
Kuna Hili tunaoendelea nao....kushukuru na kumwaga sifa kwa kila mradi unaotekelezwa humu nchini kuwa umeletwa na kutekelezwa na rais. Ni kweli rais Yuko juu ya kila kitu Kama katiba yetu inavyoeleza.

Ipo miradi mingi tu na pia kila Kona ya nchi matatizo ni lukuki vikiwemo ukosefu wa maji, huduma mbovu ya barabara, miundo mbinu mibovu ya madarasa na ukosefu mkubwa wa vyumba vya walimu. Tafasiri kwa misifa yote hii ni kuwa mtekelezaji huyo mmoja uenda amefeli kutekeleza sababu Yuko pekee yake.

Kama taifa tunachotakiwa kufanya na kumsaidia rais ili tung'are kitaifa na kimataifa ni kufanya kazi kwa bidii. Sisi tunakuwa na fikra finyu kuwa kila kitu lazima tupewe na rais wa nchi. Viongozi wetu hawana uthubutu wa maamuzi Bali wanafanya Yale yanayoelekezwa na siyo kuwa creative. Tungeweza kujitegemea kwa mawazo hivi sasa tungekuwa mbali sana.

Tuna resources kibao sasa kwanini tushindwe! Na kwa nini tumsubiri rais Hadi aandae filamu ya kuvutia watalii?. Wizara husika inafanya nini....na vipi kuhusu sekta binafsi?.

Ili yote hii iweze kutimia kwa kuwa na maendeleo Pana, imara na yenye tija ni kila mtu mahali pake kufanya kazi kwa bidii. Tusiwe watu wa kusubiri kupokea japo ni haki ya serikali kurudisha maendeleo baada ya kukusanya Kodi. Sekta binafsi ifufuliwe na kamwe isiingiliwe Kama ilivyokuwa katika awamu ya Magufuli ambapo vita Kama ilikuwa baina ya serikali na matajiri.

Wito wangu ni tufanye kazi na tuache uzembe wa kusubiri kusifia kila Jambo linalofanyika kuwa ni juhudi ya rais. Kama ni hivyo basi rais pia alaumiwe na kila mradi unaoshindikana na viwanda vingi vilivyokufa na kupoteza ajira ya maelfu ya wenzetu.

Tuwe na siku njema.
mentality ya upumbavu unaopandikizwa. hela ni kwako ((kodi) unamshukuru kana kwamba anatumia hela yake
 
kama
Tuwe na siku njema.

Ni ujinga wa wanasiasa kudanganya raia wajinga... Zile ni hela za kodi yetu, wanajidai kama rais katoa mfukoni. inakera sana kwa watu tunaolipa kodi.
 
Waulizwe CCM.Eti jitu kuubwaaa linasema..."tumshukuru muhishimiwa Rais kwa kupatwa kwa mwezi na kuonekana vizuri hapa nchini"...!Hawa ni wa kutandikwa fimbo nyingi shingoni hadi wakanushe kauli zao za kizuzu.
 
Sipati picha kwenye mlipuko wa Corona number one. Watu wale na uprofessee na mastazzzzz zao bado kwenye awamu hii walimgeuka hayati
 
Kwanini tunamlaumu Rais kwa kila kitu??
Rais halaumiwi Bali Kama siasa ni Safi kinacholaumiwa ni kudhindwa kufikia malengo kwenye bajeti. Bunge linakorogaaaaa
 
Back
Top Bottom